ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sawa msee wa Chinese toll nationalMakwapa stadium
Sgr train ya Kenya Moja inabeba swa na mbili za vumbistanHata ungekuwa wewe ungekubali? Yaan picha unaanza kuipata kwa abiria . View attachment 3382465
Hiyo treni bado saa moja tu na siku zipo tatu tu kwa trip .
Zingekuwa nne je? Kule premium wanakojisifia ndo kabisa wamebakiza 44 na ni behewa moja tu.
Kule dom mchongoko ishauza siti 450 safar sa 12 jion🤣🤣🤣🤣
Benjamin makwapa Chinese grantSawa msee wa Chinese toll national
Hivi kenya kuna sgr au gari moshi?Sgr train ya Kenya Moja inabeba swa na mbili za vumbistan
Eh? Unasema ni wale wa kuitisha details za watu alafu wanafagilia account?😂
Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.Una ujinga mwingi si bora hao hata piki piki hawa vipi?
View attachment 3382832
Watu wa njaa chapoo huwatosha! Ruto leo hii akiamua agawe chapati za bure maandamano yanakwisha!Una ujinga mwingi si bora hao hata piki piki hawa vipi?
View attachment 3382832
Wakenya gani?Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.
Kenya sio Bongolala nchi ya machawa wee mwendazimu.Wakenya gani?
Siasa za Kenya ni siasa za ASS KISSERS wa TRIBAL KINGPINS.
Hata Wakale wanamuona Ruto kama mungu. Na Kamnunua Odinga na kuipa familia ya Odinga vyeo, kanunua misukule wote wa kijaluo nyuma ya Odinga.
Stupid
Kenya ni machawa sugu.Kenya sio Bongolala nchi ya machawa wee mwendazimu.