Wewe umebase kwenye turnover tu.
Mimi nilichokuambia ni kuwa tuangalia thaman ya uwekezaji wa mo versus Azam kwa sasa na sababu nyingine nilikuambia Azam inasomeka kama group kuna wamiliki mbali ambao wako chini ya Azam .
Mfano tu azampay founder ni firas Ahmad na imebase sana Mauritius , ila nayo Iko chini ya Azam, Azam media Iko chini ya mtu mwingine kabisa. Ukija kwenye viwanda msimamizi wa viwanda vya ngano letsay moz ni mwingine .sasa kwenye makubaliano hatujui ila hata ukiingia kwa website yao utaona Kila division Iko chini ya mtu mwingine
Metl division zote iwe ngano, mafuta zote ziko chini yake .