Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you training for the Olympics in circular reasoning? Because at this point, I think you’ve lapped me three times without ever reaching the finish line. "Acha kelele mingi, nipee hizo figures".
I already presented the figures yesterday wacha kujifanya hukuona.
 
Hakuna mzigo Rwanda wa kuweza kulipa deni la sgr . Hiyo ya malaba tu mna miaka zaidi ya 8 hamjafanya lolote na hata funding bado kupata wakati wenzenu tayar lot zote Zina wakandarasi,

Dar- mwanza = 1200 km
Tukianza tu hivi kujenga hio last section, wewe jua tutamaliza in 3 years or less. Sisi sio wavivu kama nyinyi.
 
The last time I checked we export more goods than bongoslum, both per capita and total amount of goods.

Image

Image
Unajua maana ya goods exports per Capita?

In 2024, Tanzania's exports of goods and services totaled $16.093 billion, marking a 15.1% increase compared to the previous year

Kenya's total exports in 2024 were revised upwards by 37%, reaching Sh1.48 trillion (approximately $11.4 billion USD) after the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) revised their data. This revision was largely due to improved data capture of fuel re-exports, travel, and financial services. Prior to the revision, the value was estimated at Sh1.08 trillion.
 
Tukianza tu hivi kujenga hio last section, wewe jua tutamaliza in 3 years or less. Sisi sio wavivu kama nyiny
Imewachukua almost 8 years kutafuta funding tu na bado kupata mpaka sasa, mmeamua kwenda kujipachika kwenye panda bonds ya china na bado hata uhakika wa kupata hapo, hata baada ya kupata itawachukua miaka mingine 8 kukamilisha hiyo project, meanwhile kule mwanza Iko hivi
Then kule kigoma Iko hivi

View: https://youtu.be/QB-sV8chfIA?si=JYJvKMNDvdZCdRF3

Hata mkisema mjenge usiku na mchana na sisi tujenge kwa masaa mawili tu kwa siku bado tutamaliza kabla yenu , kumbuka tunajengabzaid ya km 2400 wakati nyinyi km 950 zinawatoa jasho
 
Unajua maana ya goods exports per Capita?

In 2024, Tanzania's exports of goods and services totaled $16.093 billion, marking a 15.1% increase compared to the previous year

Kenya's total exports in 2024 were revised upwards by 37%, reaching Sh1.48 trillion (approximately $11.4 billion USD) after the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) revised their data. This revision was largely due to improved data capture of fuel re-exports, travel, and financial services. Prior to the revision, the value was estimated at Sh1.08 trillion.
Watakwambia Wana service export kubwa ya labour ndo maana Wana remittances kubwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
What special for final match? Watu watakuwa wamechoka wanataka kurudi kwao. But opening ceremony everyone will be energetic and Tanzania itapata big revenue
kwenye opening hata raisi wa FIFA atakuwepo pamoja na wageni mbalimbali from all corners of the world and guess what wenyeji lazima wacheze mechi ya ufunguzi ila wao fainali hawachezi 🤣🤣🤣🤣
 
Yet hizo nchi zote Kwa hio list except Nigeria zimeshinda bongoslum Kwa GDP per Capita. 🤣🤣 I doubt hata mko kwa hio ranking, wenzenu kama Burundi, Afghanistan, South Sudan etc hawako hapo.
utakula karatasi?
 
kwenye opening hata raisi wa FIFA atakuwepo pamoja na wageni mbalimbali from all corners of the world and guess what wenyeji lazima wacheze mechi ya ufunguzi ila wao fainali hawachezi 🤣🤣🤣🤣
Actually kwa Tanzania Inaweza mashabiki wengi kwa ajili ya unafuu wa maisha , maombi yangu tu kwa wazira ya mambo ya nje walau kungekuwa na free viza kwa nchi zote za Africa kipindi Cha mashindano hayo ili mashabiki wake kwa wingi na sisi tuuze chips zetu mtaani
 
Unajua maana ya goods exports per Capita?

In 2024, Tanzania's exports of goods and services totaled $16.093 billion, marking a 15.1% increase compared to the previous year

Kenya's total exports in 2024 were revised upwards by 37%, reaching Sh1.48 trillion (approximately $11.4 billion USD) after the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) revised their data. This revision was largely due to improved data capture of fuel re-exports, travel, and financial services. Prior to the revision, the value was estimated at Sh1.08 trillion.
You only made 8 billion from Exports. Munahesabu hadi tourism kwa export figures. Kenya does not.

View: https://x.com/MwangoCapital/status/1877603811386364359
 
kwahiyo wanahesabu remitansi kama exports?!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona mara kibao , ebu karibu fuatilia exports in manufactured goods ya Kenya na tz
Kwa mwaka 2024 Tanzania exports ya manufactured goods only ni 1.92 bil usd
Kenya exports ya manu. Goods ni 82.8 bil ksh sawa na 641 mil usd 🤣🤣🤣🤣🤣 yaan exports za bidhaa za viwandani za Tanzania imeizid Kenya kwa 1.279bil usd ndo madhara ya kuexport pipi
 
Back
Top Bottom