Kaka:
1. Nimekupatia Revenue ya MeTL 2024 kuwa ni $19b (Wewe unaliletea Investment ya $300Ml) upo sawa kweli kaka?
2. Nimekuwekea kuwa MeTL inachangia 5% ya GDP ya Tanzania (Hujaleta chochote)
3. Nimekuwekea Watu walioajiriwa MeTL kuwa 37K+ wewe hujaleta chochote.
Sasa unataka tuendelee na mjadala huu kwa lengo lipi?
Huu ubishani wako ni wa kipumbavu
Nakuwekea Statistical Data wewe unakuja na maneno ya kejeli, what the f**k
Leta takwimu kaka. Acha porojo. Mimi nikikuwekea kitu nipo na uhakika huwa siweki porojo.
Nimekuwekea link hii hapa uka ignore ili ujifurahishe tu wewe na nafsi yako with no facts
The page you are looking for could not be found.
www.rmb.co.za