Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Western Kenya has more buses from Nairobi than to Mombasa.

Common sense, coastal Kenya is touristic, watu wenye pesa hawapandi buses! Or trains!
Iyo ni ya mafukara na middle classs though luxury buses.


Ndio maana TANZANIA DOMESTIC air traffic ni UPUUUUZI.
Most people ni maskini, from mwanza Hadi dar lazma watumie buses. POVERTY.
Asante kwa kujitolea umuelezee. Mimi nilichoka. Mwambie aangalie jinsi hiyo Barabara huwa na jam especially during December holidays Hadi watu wanalala barabarani.😂😂😂
 
Kwani ilikua ni mashindano? Anyway your port only has a capacity of 90 metric tonnes per day. Yetu it's over 130 tonnes. Munajua tu kama kawaida we build things with bigger capacity.
Sifa kama kawaida lakini hakuna kitu weka hapa picha tuone hiyo port. Halafu ujue fishing port development inaendana na global agenda ya blue economy sisi hatukurupuki.
 
Wakundustan bado mpo? Hebu tupeni mambo ya maendeleo tuone, maana mwaka huu mmeanza kujificha kwenye matundu kama panya. Bajeti ya kenya mwaka huu umewavua nguo

1749840851060.png
 
Back
Top Bottom