Sasa mmeanza kuwa na akili. Ngoja tuwawekee barabara za unguja.
Umepigwa punch 👊 umebaki kulia lia, ni sawa tu na Kenya kuwa juu ya Tanzania kwa GDP ya karatasi but development mmeachwa mbali.Yes, because bongoslum does not have poor people ama? Unareason kama fala, kubali Uganda imewapita kwa per capita na next ni nominal GDP.
Na iambatane na standard levels like flyovers , interchanges, bridges at a go, Mombasa level.Sasa mmeanza kuwa na akili. Ngoja tuwawekee barabara za unguja.
Interchange East Africa ni mojo tu, ipo Dar es salaam, kwingine ni vivuko vya juuNa iambatane na standard levels like flyovers , interchanges, bridges at a go.
Si mbwbwe za zebra crossings na ma roundabout za 1960.
Taa za Nairobi, walizoweka juzi mpaka Youtubers wote wakajaa hapo kwenda kupiga kelee.
Wahuni wameshapita nazo
👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DKzscd2N38S/?igsh=djc2amNvMWlxcjMz
Wenzenu wana train ya umeme nyinyi endeleeni kujifurahisha na karatasi.yaani uganda imewapiku..hadi raha jamani.. we kenya are ready to support uganda..hawa wa south hawajielewi mara wako EA mara SADC..yaani ni vichaa kwa ujumla.. 😁 😁 😁
View attachment 3367132
Hasira za nn sasa wewe jaluo, bila shaka wewe ni huyu 👇👇Western Kenya has more buses from Nairobi than to Mombasa.
Common sense, coastal Kenya is touristic, watu wenye pesa hawapandi buses! Or trains!
Iyo ni ya mafukara na middle classs though luxury buses.
Ndio maana TANZANIA DOMESTIC air traffic ni UPUUUUZI.
Most people ni maskini, from mwanza Hadi dar lazma watumie buses. POVERTY.
Na iambatane na standard levels like flyovers , interchanges, bridges at a go, Mombasa level.
Si mbwbwe za zebra crossings na ma roundabout za 1960.