Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
View: https://youtube.com/shorts/EnhFZeJ9Jic?si=bqZcATb83zBk6g-j
Nime build engine na kuiweka kwenye gari, kwa kutumia hoist. Salute to these guys kufanya hivi kwa mikono, ila jirani kazi mnayo.
Mnajenga vitu poor quality! compare that to this n see the difference!
View: https://x.com/XHNews/status/1932403488828338595
That's how a seaprt looks like! Nimekuwekea aibu zenu mnajenga vi-jetty mnaita berth! NImekuonyesha Kigoma, Karema, Bukoba, Kemondo, Kyela, Bambabay n Mwanza's 2 ports uone hata aibu! Ila Mkunduni wewe huna soni! Nadhani utakuwa na usonjo wewe!Kwa hivyo tujenge kama nyinyi yet environmental conditions are not the same. 🤣 🤣 🤣 Enyewe hapa tunadeal na primary school dropouts.


Hamna hela mnajenga vitu kwa ajili ya boti ndogo acha kusingizia environmental conditions sababu, shimoni na kilwa hazina utofauti wowote kama ni ufup wa kina mngeweza fanya dredging. Kwa msaada tu Azam angeweza wasaidia kufanya dredging 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hivyo tujenge kama nyinyi yet environmental conditions are not the same. 🤣 🤣 🤣 Enyewe hapa tunadeal na primary school dropouts.
That's how a seaprt looks like! Nimekuwekea aibu zenu mnajenga vi-jetty mnaita berth! NImekuonyesha Kigoma, Karema, Bukoba, Kemondo, Kyela, Bambabay n Mwanza's 2 ports uone hata aibu! Ula Mkunduni wewe huna soni! Nadhani utakuwa na usonjo wewe! Yaani Tanzania has lake ports better than ur seaport!
That Shimoni is another Ukurutu!Huwezi tufunza kazi, Kenya ni nchi ikona watu wanajielewa not primary school dropouts. Liwatoni fishing port haifanani na shimoni. Shimoni s ment to serve bigger vessels, ndio kwa maana the berth is built far from the shoreline.
![]()
Lamu port berths are built far away from the shoreline, na ndio kwa maana Lamu can handle bigger vessels that no other port in the region can handle. Sisi hatuongozwi na primary school dropouts, we build things with purpose sio kucopy watu.
![]()
Ju unadhani hatuna machine za kufanya dredging? Unadhani dredging hufanywa tu anywhere bila EIA. Nowonder munaongozwa na class 7 dropouts.Hamna hela mnajenga vitu kwa ajili ya boti ndogo acha kusingizia environmental conditions sababu, shimoni na kilwa hazina utofauti wowote kama ni ufup wa kina mngeweza fanya dredging. Kwa msaada tu Azam angeweza wasaidia kufanya dredging 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona umekosa comeback, aikili imefika limit. 🤣 🤣That Shimoni is another Ukurutu!
Kimsingi wewe ndio unaemanga manga, Jitu govi. 🤣🤣🤣Naona umekosa comeback, aikili imefika limit. 🤣 🤣
Naona umekosa comeback, aikili imefika limit. 🤣 🤣
Wewe hunanga cha maana, tafuta picha za Arusha na Tanga upost.Kimsingi wewe ndio unaemanga manga, Jitu govi. 🤣🤣🤣
Kwahiyo unaweza anzisha ujenzi wowote kwa bahari bila EIA? unataka kutuambia shimoni port imejengwa bila kuwa na EIA? Shule yenu ya wapi nyinyiJu unadhani hatuna machine za kufanya dredging? Unadhani dredging hufanywa tu anywhere bila EIA. Nowonder munaongozwa na class 7 dropouts.
Kwa hivyo according to you walikubali EIA lakini ni machine za dredging ndio wamekosa?Kwahiyo unaweza anzisha ujenzi wowote kwa bahari bila EIA? unataka kutuambia shimoni port imejengwa bila kuwa na EIA? Shule yenu ya wapi nyinyi
yaani uganda imewapiku..hadi raha jamani.. we kenya are ready to support uganda..hawa wa south hawajielewi mara wako EA mara SADC..yaani ni vichaa kwa ujumla.. 😁 😁 😁
View attachment 3367132
Ungekuwa unaongea ukiwa umepost hiyo EIA hapa sawa kuliko maneno matupuKwa hivyo according to you walikubali EIA lakini ni machine za dredging ndio wamekosa?
Soma kwanza hiyo EIA yenu uone kwamba hamkuwa na uwezo kufanya dredging acha visingizio halafu kuangalia na kilwa port uone ni sehemu gani ingekuwa affectedKwa hivyo according to you walikubali EIA lakini ni machine za dredging ndio wamekosa?
mukuru ziko 2 sheikh,kuna hiyo anayoishi babu lisilio na marinda mwaiofhawaii na kuna nyingine anayoishi mtoto khanga moko Teargashio ni slam moja zpo nyingi kuna mathare hio ndo balaa, alafu kuna moja inaitwa kawangware hii naijua vizuri maaana kuna dem alikua anakaa uku basi nisiseme sana, alafu kuna sehem inaitwa pipeline hio ndo funga kazi pamoja na mukuru
Western Kenya has more buses from Nairobi than to Mombasa.Sawa inwezekana ni highly populated lakini hakuna wasafiri wengi, mfano hata ukiangalia flights za kutoka Nairobi - Mombasa ni nyingi sana ukilinganisha sehemu yoyote kwa kenya. Tukienda kwenye bus companies, hivi kuna magari mangapi yanaenda kisumu,kakamenga, nyeri kutokea kwenye mjii wa kibiashara ?