Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ukisema tu Hon. William Samoei Ruto, President of Republic of Kenya kuna shida?

1749718862123.png
 
Ilipotezewa na hela zilikuwa focused JNHPP, cause ilibidi ianzwe kujengwa wakati wa Magu. ziko still kwenye plan . maana zinauwezo wakuongeza 1100mw . ila naona focus iko kwenye hydro
Haikupotezewa ila tusingeweza miradi yote miwili kwa wakati mmoja , halafu kwa kipindi kile tuliona mahitaji yangetosha ila kadri tunavyokwenda umeme unaona itakuwa kidogo tunahitaji Tena hydro nyingine.
Makadirio kufikia 2030 umeme uhatakuwa hautoshi tena
 
Ilipotezewa na hela zilikuwa focused JNHPP, cause ilibidi ianzwe kujengwa wakati wa Magu. ziko still kwenye plan . maana zinauwezo wakuongeza 1100mw . ila naona focus iko kwenye hydro
Gas itakayotumika kwenye hizo Plant itaelekezwa katika matumizi ya viwanda, majumbani na kuuza nje. Bado tupo na Uranium hatujaitumia.

Reserve yetu ya Uranium ni 57K tonne. Tukitumia 10,000K tonne ya uranium na kuzalisha 100,000MW tutatumia zaidi ya miaka 500.

Kama unataka uchanganuzi nipo tayari.
 
Ilipotezewa na hela zilikuwa focused JNHPP, cause ilibidi ianzwe kujengwa wakati wa Magu. ziko still kwenye plan . maana zinauwezo wakuongeza 1100mw . ila naona focus iko kwenye hydro
Hydro na Transmission strengthening ambayo ndio inakula hela nyingi sasa.
 
Back
Top Bottom