babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,722
Wewe mbona huwa ni bingwa wa kujifanya unaijua Tanzania kutushinda?Shida yenu mnajifanya mnaijua Kenya kutushinda na hata Kenya yenyewe hamjawai kukanyaga.
Wewe mbona huwa ni bingwa wa kujifanya unaijua Tanzania kutushinda?Shida yenu mnajifanya mnaijua Kenya kutushinda na hata Kenya yenyewe hamjawai kukanyaga.
Sina huo muda. Jibambe.🚮🚮We leta data za kuna flights ngapi au kuna kampuni ngapi za mabasi zinafanya trip kwenda huko western Kenya, maneno si hoja
Leta data wacha ujinga.Sina huo muda. Jibambe.🚮🚮
🤣🤣🤣 Huna hoja then kaa kimyaaSina huo muda. Jibambe.🚮🚮
Ikwapi hiyo port tulioiona? Halafu hapo sio port tu ni whole industrial level fish value chainMliona Kenya inajenga fishing port muka amua kucopy kama kawaida yenu.
Kwanza tumsaidie ni kampuni moja ya the guardian angel yenye trip 13 kwenda Kisumu na ndo kampuni yenye trip nyingi kuliko zote kwenda huko western Kenya kwa siku na jambojet ndo inatrip 5 kwa sikuLeta data wacha ujinga.
Eldoret ni jiji la 3, kwa ukubwa Kenya.
Check watu wameamka usiku kushangaa taa za barabarani. Maana hazijawahi kuwepo.
View: https://x.com/kilundeezy/status/1933060513375653928?t=ESJ7SiNPeAm8VC6m_mWTMw&s=19
| Country | Defence Budget 2025/2026 (USD) |
|---|---|
| Tanzania | 2.08 billion |
| Sri Lanka 🇱🇰 | ~1.5 billion |
| Kenya 🇰🇪 | ~1.1 billion |
| Uganda 🇺🇬 | ~1.2 billion |
| Georgia 🇬🇪 | ~0.49 billion |
| Bulgaria 🇧🇬 | ~2.0 billion |
source?Kundustan sasa mtueleze
Country Defence Budget 2025/2026 (USD)Tanzania 2.08 billionSri Lanka 🇱🇰 ~1.5 billionKenya 🇰🇪 ~1.1 billionUganda 🇺🇬 ~1.2 billionGeorgia 🇬🇪 ~0.49 billionBulgaria 🇧🇬 ~2.0 billion
Kuja Ganjoni, Mombasa utaiona na ingine inanjengwa Shimoni in Kwale, County. Zote zikona processing plants, Kwa hivyo hakuna cha maana unatuambia hapa wewe primary school dropout. Homa Bay and Busia have better fish markets than Dar is a slum na bado ukona audacity ya kuongelea fishing.Ikwapi hiyo port tulioiona? Halafu hapo sio port tu ni whole industrial level fish value chain
Budget ya Kenya 2025/2026 and Budget ya Tanzania 2025/2026.source?
Hii ndio fish port unayoiongelea au mna nyingine? 😂😂😂Kuja Ganjoni, Mombasa utaiona na ingine inanjengwa Shimoni in Kwale, County. Zote zikona processing plants, Kwa hivyo hakuna cha maana unatuambia hapa wewe primary school dropout. Homa Bay and Busia have better fish markets than Dar is a slum na bado ukona audacity ya kuongelea fishing.
Naomba sasa tuanze kuchanganua Bajeti ya Kenya VS bajeti ya Tanzania.source?