Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TAZRA Mchina ameshaingia PPP. ataboresha na kuiendesha kwa miaka 27.

Tunduma panatakiwa njia 4 au 6, maana ndio lango la SADC
Mchina ana mines zake huko Zambia na pia anataka kuwa na monopoly ya madini mkakati na ku run TAZARA ni strategic move kwao tutegemee mzigo kuongezeka mara dufu Dar Port.
 
Kenya inayolilia mkopo ili ikamilishe budget ya 2024/2025
Ungelijua ungefyata tu🤣🤣 Tanzania's deficit unajua ni percentage ngapi?.., yaani mko worse, lakini linyani halioni kundule, tatizo ya kukosa elimu bora unajilipua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchina ana mines zake huko Zambia na pia anataka kuwa na monopoly ya madini mkakati na ku run TAZARA ni strategic move kwao tutegemee mzigo kuongezeka mara dufu Dar Port.
Mchina aliboresha Lobitor corridor (reli ya Angola to Congo) akaporwa na Marekani.

Alipoona ameporwa, ndio akaja TAZARA.

Ndio maana alikataa kutoa pesa kwaajili ya SGR ya Kenya, lakini kwa TAZARA anatoa $1 billion.

Lengo ni mizigo ya Congo na Zambia.
 
Mchina aliboresha Lobitor corridor (reli ya Angola to Congo) akaporwa na Marekani.

Alipoona ameporwa, ndio akaja TAZARA.

Ndio maana alikataa kutoa pesa kwaajili ya SGR ya Kenya, lakini kwa TAZARA anatoa $1 billion.

Lengo ni mizigo ya Congo na Zambia.
Hata ungekuwa wewe unatoa 1bil usd ila hakuna mzigo toka hinterland kuja coastal wakat Kuna sehem mzigo unaonekana kabisa
 
Yani tumefikia huku. Kila ship iki dock hapo ni breaking news 🤣🤣🤣
Yani uogopi Lamu is on the way of overtaking Dar in terms of cargo volumes?

Alafu mlikuwa mnasema akuna Meli zinakuja Lamu Port, now that Tumeanza kuwaonyesha mnalilia Kama watoto.
 
Ebu tuwekee deficit ya Tanzania versus Kenya🤣
Ulikurupuka mwenyewe., ni kama haujui ata pato la taifa lenyu ni kidogo ukilinganisha na budget ya taifa., na unabweka humu., tuko June 2025, budget zinaenda kusomwa kwa pamoja utajionea., ama fanya utafiti kwa kutumia ya last year ujionee mlivyo mafukara.., hakuna tofauti kubwa na mwaka huu, Tanzania ni ile ile , sasa ndio mmeongeza mahitaji🤣., gap ya deficit itakua zaidi ya last year which was slightly over 30%!!! Kenya is less than 15%..,
 
Jitahidini pia kuhakiki data zenu.

Maana you are experts kwenye data cooking
Mkishindwa hapa ndio mnajidanganyaga kujiliwaza eti🤣🤣🤣🤣., Kenya upike data wakenya wakiwa wapi?, we are sharp we expose the govt easily, watu wamesoma Kenya!! sio ndwazi kama Watanzania, CCM inawalisha propaganda na hamuwezi kuona uongo ., Magufuli kawadangaya eti "anajenga kwa pesa za ndani"., ilhali pato la taifa halitoshi ata ku meet reccurrent expenditure kwa budget., mama alipoingia CAG walitoa report wakapata mwendazake alikua anakopa kisiri, deni la taifa lilikua limeongezeka kwa mpigo 🤣🤣🤣., propaganda na CCM's Tanzania ni kama chanda na Pete.,
 
Back
Top Bottom