Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Fanya utafiti mwenyewe mgeni asije akakuumbua kwa ground kilaza.., hapa siwezi bishana na wewe., hizi ni level ya vijiweni., yaani kwa akili yako timamu unaitaja Nairobi sentensi moja na Dar kwa malls🤣🤣🤣🤣🤣., wewe ni mtu bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣Facts zisizoonekana..? 🤣🤣🤣 nimekuwekea list ya shopping malls in Dar tunazofungua this year.
1. Dar village mall
2.Ocean view mall
3.Morocco square mall
4.Kunduchi mall
5. EACLC mall.
Hizi zote ni za mwaka huu tu, mpyaaa kwenye maganda yake..
Swali ni je huko kwenu mnazo ngapi mnazotarajia kuzifungua this year.? 🤣🤣🤣
Usiniletee maneno matupu mimi.