Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Yaani iko very obvious., then numbers exposes them.,The only country in East Africa ever flagged for cooking data is Tanzania. Sijaiskia Kenya ikisemmwa kwa kupika data.
Yaani iko very obvious., then numbers exposes them.,The only country in East Africa ever flagged for cooking data is Tanzania. Sijaiskia Kenya ikisemmwa kwa kupika data.
machokoraa tuu wengi waoJamaa sijui wana akili ya namna gani,wanajiona wapo level flan
Huwa sijadiliani na Ponjolo mimiUnatafuta matusi, na nitakutusi utaharibu uzi.
Mapunga kama nyinyi hamjawahi kunisumbua
Big GDP and GDP per Capita.Mkishindwa hapa ndio mnajidanganyaga kujiliwaza eti🤣🤣🤣🤣., Kenya upike data wakenya wakiwa wapi?, we are sharp we expose the govt easily, watu wamesoma Kenya!! sio ndwazi kama Watanzania, CCM inawalisha propaganda na hamuwezi kuona uongo ., Magufuli kawadangaya eti "anajenga kwa pesa za ndani"., ilhali pato la taifa halitoshi ata ku meet reccurrent expenditure kwa budget., mama alipoingia CAG walitoa report wakapata mwendazake alikua anakopa kisiri, deni la taifa lilikua limeongezeka kwa mpigo 🤣🤣🤣., propaganda na CCM's Tanzania ni kama chanda na Pete.,
Kenya ina SLUMS nchi nzima😅😅machokoraa tuu wengi wao
Khaa umechukua screenshots kabsaa incase wanafuta! 😀 😀Kenya ina SLUMS nchi nzima😅😅
Mpaka Taita Taveta, huko karibu na Mpaka wa Holili kuna Slums.
View attachment 3363063View attachment 3363064View attachment 3363065
In my language there is a song which goes like;Yaani iko very obvious., then numbers exposes them.,
Ilo eneo ni dogo sana kulinganisha na Kariakoo.
Ni kwa nini mnapenda Uongo? Mnaadika articles kibao za Uongo mitandaoni mpaka Chatgpt ana pick data kutoka source zenu za Uongo.The only country in East Africa ever flagged for cooking data is Tanzania. Sijaiskia Kenya ikisemmwa kwa kupika data.
Kwikwi usipaniki dogoooUlikurupuka mwenyewe., ni kama haujui ata pato la taifa lenyu ni kidogo ukilinganisha na budget ya taifa., na unabweka humu., tuko June 2025, budget zinaenda kusomwa kwa pamoja utajionea., ama fanya utafiti kwa kutumia ya last year ujionee mlivyo mafukara.., hakuna tofauti kubwa na mwaka huu, Tanzania ni ile ile , sasa ndio mmeongeza mahitaji🤣., gap ya deficit itakua zaidi ya last year which was slightly over 30%!!! Kenya is less than 15%..,
What sort of ships are we talking about here? zile zinazozama na ngamia hukoYani uogopi Lamu is on the way of overtaking Dar in terms of cargo volumes?
Alafu mlikuwa mnasema akuna Meli zinakuja Lamu Port, now that Tumeanza kuwaonyesha mnalilia Kama watoto.
Sasa ile overvaluation ya KSh imetoka wapi? embu mtuelezee kidogo.The only country in East Africa ever flagged for cooking data is Tanzania. Sijaiskia Kenya ikisemmwa kwa kupika data.
You are accusing people of doing what you do best.Sasa ile overvaluation ya KSh imetoka wapi? embu mtuelezee kidogo.
Khaa umechukua screen kabsaa incase wanafuta! 😀 😀
View: https://x.com/ntvkenya/status/1932363450715656281
Dah hiko kichwa cha habari mhhh 😲
Leta link ya hii article
inabidi uripoti hilo kosa!Ilo eneo ni dogo sana kulinganisha na Kariakoo.
Ni kwa nini mnapenda Uongo? Mnaadika articles kibao za Uongo mitandaoni mpaka Chatgpt ana pick data kutoka source zenu za Uongo.
Chatgpt inasema Kenya ana Electric SGR 😂😂. Ila kenyans
View attachment 3363073