evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Bitter truth!Tatizo lenu ninyi mnakuwa kama wafugaji mifugo ya asili, mnasifia idadi ya mifugo lakini mapato yake ni karibu na zero, sasa mnapata kiasi gani cha pesa kutokana na huko kutajwa, au kwenu muhimu ni sifa za kijinga?, mnajua kwamba tourism revenues zenu zote kwa mwaka ni less than yale ya Serengeti pekee?..meza hicho kidonge usitapike![]()