Dude, didnt you see those resumes posted online … unless you Want to say the educated ones missed the Memo to post their qualifations on portifolios …😄Wewe mpumbavu wabunge wengi Tz wamesoma vizuri degree na kuendelea, na wale ambao wapo kunywe ministries wote ni wasomi wakubwa tu and they are more intelligent than your leaders. Ukitaka kuthibisha hayo, rudi utazame matokeo ya kazi zao. Kila siku nasisitiza ground ndio inaeleza kila kitu. Sio kujisifia usoni halafu matokeo ya usomi wako 0 kule ground. 🤣🤣🤣 hehehe.
Actions speak louder than the words.
Ground mzee. 🤣🤣🤣🤣
Why now can't you fund even a small project with own source?Revenue ya Kenya ni Tshs.74 trillion plus!($28.15Billion) zaidi ya national budget ya taifa fukara ya watu wengi na kubwa, Kisha change ikabakia, na unabweka humu, revenue pia mtasema ni ya makaratasi eti 🤣🤣🤣🤣.., boss jiangalie kwanza.,
Nyie mnaongeza sifuri kwenye data zenu,dar port ina mizigo ya uganda, malawi,zimbabwe,rwanda,burundi,zambia na congo,hizo nchi zinatumia dar port kwa 80% except zimbabwe na uganda,msa port nchi inayotumia kwa 80% ni uganda pekee hata we mwenyewe jiongeze hapoKwa akili zako hizi za vijiweni unaona a newspaper like the Star is a gutter press? Eti wao wata report without facts?.., unadhani the star newspaper ni Tuko news where anything goes, even without verification or unadhani ni umbeya za Jamii forums na hadithi za vijiweni🤣🤣🤣., tafuta data from Kenya Ports Authority ama KNBS data wewe mwenyewe ujisomee, Kisha uzitumie kupinga hiyo taarifa, sio kutumia fikra zenu uchwara🤣., kindly come with current data from Kenya Ports Authority inayo onyesha the Star newspaper wameandika porojo.., am here waiting.., vilaza kwa ubora wao, naona raha mnavyo jikaranga🤣🤣
Ndio maana inaitwa budget, kila kitu Kiko na mpangilio wake., na budget yetu ni zaidi ya hiyo Tshs.74trilion., how we finance our projects sio hoja, kwa sasa Kenya inajenga affordable housing na haitoki kwa hiyo revenue ata shillingi moja, na sio mkopo, unajua hilo? it's eing financed by housing levy kando na budget.., barabara ziko na fuel levy, kando na budget ., SGR ni PPP, funded by both Chinese and Kenyan govt as investors, Kenyan banks and other foreign investors, mostly from china, where pesa zao zitarudiashwa by the revenue recouped from SGR operations, including Kenya's govt money itarudishwa, so Kenya sio Tanzania., hatufanani., tafuta uelewa, Wacha kujifananisha na Kenya, elewa different financial models, or seek financial knowledge, most of you here are financial illiterates, mna guess tu maneno, hamna uelewa wowote.,Why now can't you fund even a small project with own source?
Huyo jamaa content yake ni umalaya,ukiangalia content zake anatengenezeq sana thailand,brazil n.k,zile nchi za wauza nyuchi na ndio maana amestick hapo kundudwellers,coz alipokua TZ alishindwa kupata malayaSawa Mr. "kwa ground"., hainisumbui 🤣🤣
View attachment 3358046
It's almost half, it doesn't have to be exact you old dimwit.20/57*100% is not half! Meanwhile tell us what percentage does $11bln for debt payment takes from ur total budget?
80% of all cargo that passes through Dar port ends up in Tanzania.,. hizo nchi umetaja kwa pamoja their impact to your port is very minimal, some have other options, and are poor economically., ndio maana SGR yenu is automatically a white elephant, as most or majority of goods ends and others starts in/from Dar..,Nyie mnaongeza sifuri kwenye data zenu,dar port ina mizigo ya uganda, malawi,zimbabwe,rwanda,burundi,zambia na congo,hizo nchi zinatumia dar port kwa 80% except zimbabwe na uganda,msa port nchi inayotumia kwa 80% ni uganda pekee hata we mwenyewe jiongeze hapo
Anyway ingependeza ungetupa details za development expenditure tulinganishe na ya tz, maana tunachojua half of the budget ni kulipa mkopo wakat tZ a quarter of the budget ni kulipa mkopoNdio maana inaitwa budget, kila kitu Kiko na mpangilio wake., na budget yetu ni zaidi ya hiyo Tshs.74trilion., how we finance our projects sio hoja, kwa sasa Kenya inajenga affordable housing na haitoki kwa hiyo revenue ata shillingi moja, na sio mkopo, unajua hilo? it's eing financed by housing levy kando na budget.., barabara ziko na fuel levy, kando na budget ., SGR ni PPP, funded by both Chinese and Kenyan govt as investors, Kenyan banks and other foreign investors, mostly from china, where pesa zao zitarudiashwa by the revenue recouped from SGR operations, including Kenya's govt money itarudishwa, so Kenya sio Tanzania., hatufanani., tafuta uelewa, Wacha kujifananisha na Kenya, elewa different financial models, or seek financial knowledge, most of you here are financial illiterates, mna guess tu maneno, hamna uelewa wowote.,
Sasa eti umejitetea🤣🤣🤣., pwani karibia yoote duniani ni headquarters ya umalaya,(ukahaba), your point is null and void 🤣🤣, Dar is a sin city Tanzania 🤣. Anyway he spoke the truth, hilo limekuuma, na pia Kuna dada kutoka Ethiopia, huu mwaka kapeana opinion yake between Dar na Nairobi.., na yeye atakua lesbian?🤣🤣🤣., facts are screaming.,Huyo jamaa content yake ni umalaya,ukiangalia content zake anatengenezeq sana thailand,brazil n.k,zile nchi za wauza nyuchi na ndio maana amestick hapo kundudwellers,coz alipokua TZ alishindwa kupata malaya
Nchi alizozitaja kufananisha na kundudwellers zinajulikana,thailand hadi kuna midume jike unaweza kukuta ipo na hapo kwenuSasa eti umejitetea🤣🤣🤣., pwani karibia yoote duniani ni headquarters ya umalaya,(ukahaba), your point is null and void 🤣🤣, Dar is a sin city Tanzania 🤣. Anyway he spoke the truth, hilo limekuuma, na pia Kuna dada kutoka Ethiopia, huu mwaka kapeana opinion yake between Dar na Nairobi.., na yeye atakua lesbian?🤣🤣🤣., facts are screaming.,
Development is not limited to budget money in Kenya, Kenya has other ways of financing development projects, jua hilo. Kupata details za devt expenditures, ngoja wakati wa kusomwa kwa budgets zote, utakua humu, tuta fanya comparison analysis pole pole., kila kitu kitawekwa wazi, budget reading will be live, so tulieni.,Anyway ingependeza ungetupa details za development expenditure tulinganishe na ya tz, maana tunachojua half of the budget ni kulipa mkopo wakat tZ a quarter of the budget ni kulipa mkopo
Tanzania sgr ni elephant project lakini m mpaka April ilifanikiwa kusafirisha abiria equal to yearly passengers wa Kenyan sgr.80% of all cargo that passes through Dar port ends up in Tanzania.,. hizo nchi umetaja kwa pamoja their impact to your port is very minimal, some have other options, and are poor economically., ndio maana SGR yenu is automatically a white elephant, as most or majority of goods ends and others starts in/from Dar..,
Numbers never lie., some of the cargo in Mombasa port are for Tanzanians, South Sudanese, Eastern DRC, Rwanda na Burundi., not everything for Burundi n Rwanda passes through Dar Port kilaza.., Wacha kujiliwaza na hadithi za vijiweni.,
Inland Container Depot project opposite French Embassy !
View attachment 3358017
View attachment 3358023View attachment 3358023View attachment 3358026mmbona wanajenga katikati ya mji , nilidhani plan ni kupunguza icd's mjini 🤔
Kilaza ndio maana nikazipa hizo nchi 80%,acha bhangi kilaza,eastern congo 80% ya mizigo yake inapita dar port pia,endeleeni kuongeza sifuri,watanzania wanaotumia msa port hata 3% awafiki,then kivipi sgr ya TZ ni white elephant ww maku ikiwa kwa abiria wa kawaida ishawapiga gape la kutosha,acha wivu fala ww80% of all cargo that passes through Dar port ends up in Tanzania.,. hizo nchi umetaja kwa pamoja their impact to your port is very minimal, some have other options, and are poor economically., ndio maana SGR yenu is automatically a white elephant, as most or majority of goods ends and others starts in/from Dar..,
Numbers never lie., some of the cargo in Mombasa port are for Tanzanians, South Sudanese, Eastern DRC, Rwanda na Burundi., not everything for Burundi n Rwanda passes through Dar Port kilaza.., Wacha kujiliwaza na hadithi za vijiweni.,
Unaelewa maana ya gov budget au unahitaji usaidizi? Budget Ina cover estimates za wizara, companies na all institution ambazo ziko chini ya gov. Sasa unatuambiaje kuwa inawezekana kukawa na utofauti wa budget wakat bajeti inaandaliwa kwa kuangalia makusanyo ya nyuma🤣🤣🤣🤣Development is not limited to budget money in Kenya, Kenya has other ways of financing development projects, jua hilo. Kupata details za devt expenditures, ngoja wakati wa kusomwa kwa budgets zote, utakua humu, tuta fanya comparison analysis pole pole., kila kitu kitawekwa wazi, budget reading will be live, so tulieni.,
Mimi mwenyewe mwenyewe nimeshangaa,mipango miji yetu bado sana wanapiga hatua mbili mbele then kumi nyumaSi sawa lile eneo halipaswi kuwa yard ya makontena! Nadhani kama pameruhusiwa basi kuna serious violation on landuse ya sehemu ile! Pale ni sehemu ya offices tena embassies na sio kitu cha kushangilia!
Mwaka 2024/2025 Kenya bado Ina bajeti deficit ila pamoja na yote makadirio inaonesha kuwa ntakuwa below 40 kwenye dev expenditure as compared to tZ. Mko nyuma san , jaribu kufuatilia county revenues utagundua bado mko nyuma sanaDevelopment is not limited to budget money in Kenya, Kenya has other ways of financing development projects, jua hilo. Kupata details za devt expenditures, ngoja wakati wa kusomwa kwa budgets zote, utakua humu, tuta fanya comparison analysis pole pole., kila kitu kitawekwa wazi, budget reading will be live, so tulieni.,