Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaishi sehemu kama hii chafu halafu unategemea uwe na afya njema ya akili! 😂😂😂
IMG_4137.jpeg
 
Development is not limited to budget money in Kenya, Kenya has other ways of financing development projects, jua hilo. Kupata details za devt expenditures, ngoja wakati wa kusomwa kwa budgets zote, utakua humu, tuta fanya comparison analysis pole pole., kila kitu kitawekwa wazi, budget reading will be live, so tulieni.,
Tunasubiri hapa , mind you dev expenditure kwenye tZ sgr kwa mwaka 2025/2026 Inazid total dev expenditure ya kenya
 
Nchi alizozitaja kufananisha na kundudwellers zinajulikana,thailand hadi kuna midume jike unaweza kukuta ipo na hapo kwenu
His point was to show the vast difference between development in Kenya na Tanzania, including aesthetics (muonekano) kando na mengi, aliona mko nyuma karibia 30 years akilinganisha, sio mbali na yale baba Levo kawaambia, na hawajuani, na pia kuna mzungu aliye julikana kama Sabbatical, Katia maoni baada ya kuzuru jiji zote, so Baba Levo ni shoga kwa kutoa ushuhuda wake? na yeye aliona kiukweli mnahitaji 25 years kufikia level ya Nairobi, 🤣🤣🤣, sio tu BRT na SGR.., ama Kenya ikiwa honga., yaani lazima mtafute kisingizio kukwepa ukweli🤣🤣🤣🤣
 
Revenue ya Kenya ni Tshs.74 trillion plus!($28.15Billion) zaidi ya national budget ya taifa fukara ya watu wengi na kubwa, Kisha change ikabakia, na unabweka humu, revenue pia mtasema ni ya makaratasi eti 🤣🤣🤣🤣.., boss jiangalie kwanza.,
Kwikwikwikwikwi. Kenya inaendeshwa kwa madeni
 
Tunasubiri hapa , mind you dev expenditure kwenye tZ sgr kwa mwaka 2025/2026 Inazid total dev expenditure ya kenya
Sawa tutaona., and that's your model, I will help you understand everything even from your own budget. Naona wengi hamna uelewa hadi mnajiaibisha humu.,
 
His point was to show the vast difference between development in Kenya na Tanzania, including aesthetics (muonekano) kando na mengi, aliona mko nyuma karibia 30 years akilinganisha, sio mbali na yale baba Levo kawaambia, na hawajuani, na pia kuna mzungu aliye julikana kama Sabbatical, Katia maoni baada ya kuzuru jiji zote, so Baba Levo ni shoga kwa kutoa ushuhuda wake? na yeye aliona kiukweli mnahitaji 25 years kufikia level ya Nairobi, 🤣🤣🤣, sio tu BRT na SGR.., ama Kenya ikiwa honga., yaani lazima mtafute kisingizio kukwepa ukweli🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358250
Hizi ndio source zako,mbona mimi source zangu ziko open mno,acha kuleta maneno mzee lete picha maneno hata kwenye khanga yapo
5974.png
 
Kwikwikwikwikwi. Kenya inaendeshwa kwa madeni
The rich uses loans to catapult their enterprises, the poor hawakopesheki, ndio maana mara mnasanehewa, sijui ndege zinashikwa sijui na mkulima kisa deni n.k., boss jiangalie sana🤣🤣🤣🤣., Wacha tungoje budget reading., niwaumbue na hiyo taifa yenu ya propaganda
 
His point was to show the vast difference between development in Kenya na Tanzania, including aesthetics (muonekano) kando na mengi, aliona mko nyuma karibia 30 years akilinganisha, sio mbali na yale baba Levo kawaambia, na hawajuani, na pia kuna mzungu aliye julikana kama Sabbatical, Katia maoni baada ya kuzuru jiji zote, so Baba Levo ni shoga kwa kutoa ushuhuda wake? na yeye aliona kiukweli mnahitaji 25 years kufikia level ya Nairobi, 🤣🤣🤣, sio tu BRT na SGR.., ama Kenya ikiwa honga., yaani lazima mtafute kisingizio kukwepa ukweli🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358250
Zaid ya Mombasa port Kuna kingine mnachoweza kusema mmeizid tZ ? Maisha mazuri yanaanzia kwa kuangalia local governments yaan counties kwenu , inakuwaje mkawa mna uchumi nzuri wakati Kuna county total local revenue collection Iko below usd 713,000. Hakuna province Tanzania ambayo Iko below tzs 10bl sawa 3.6mil
 
The rich uses loans to catapult their enterprises, the poor hawakopesheki, ndio maana mara mnasanehewa, sijui ndege zinashikwa sijui na mkulima kisa deni n.k., boss jiangalie sana🤣🤣🤣🤣., Wacha tungoje budget reading., niwaumbue na hiyo taifa yenu ya propaganda
Tajiri hashindwi kulipa mishahara
 
Sawa tutaona., and that's your model, I will help you understand everything even from your own budget. Naona wengi hamna uelewa hadi mnajiaibisha humu.,
Zilete hapa estimates , nusu ya bajet Iko kwenye kulipa madeni wakat tZ ni robo ila tuna projects kibao kuliko nyinyi
 
Back
Top Bottom