mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,102
- 6,525
Wacha kujifanya unajua sana na hakuna kitu unajua, most government services zinapatikana kwa Huduma Centers, na zinapatikana country wide. Nairobi CBD is the biggest commercial hub in the region. They say ukikosa kitu ya kununua Dar is a slum au Kampala, itafute Nairobi.Sasa upper hill si less than 2km. Ni kama kariakoo na Posta. Au posta na upanga. Upper hill si ukivuka hiyo uhuru park. Yaani mnavyoita upper hill kama vile iko mbali sana.
Siku mkiondoa matatu CBD yenu kama walivyofanya Dar. Mtaona mji wenu utakavyokuwa msafi na less congested
Na hapo Bado university of Nairobi, nyayo house kufuatilia passport , wanaokuja city hall labda kufuatilia permits, watu wanaokuja KICC, na Bado office nyingi ziko CBD. Hadi mabasi mengi na vinissan vinaishia CBD, Bado hawkers, Bado Railway ya kutoka syokimau nk nk vyote CBD.
Sisi hadi Dar region offices ziko ilala huko na wanataka ziamie kabisa Magomeni. Migration iko Uhasibu huko 7km from CBD.
Kwa nini mji wenu usiwe congested. And I tell with time mtakuja sana kubenchmark Dar how decongested the city center
Can you bring the source please?The same narrative yenye mmekaririshwa tangu utotoni ndio unatuletea eti sasa ndio evidence yako? How many times have we debunked this?
Here is a breakdown of ownership of East African Airways:-
1. Kenya = 67.7%
2. Uganda = 22.6%
3. Tanganyika = 9%
4. Zanzibar = 0.7%
Muungano ulipovunjika kila mtu alichukua share yake kulingana na share alizomiliki. Mlitegemea mpate ndege ngapi na onwership ya 9.7%? Mlitegemea mpewe assets sawa na Kenya wakati Kenya ina 67.7% shares nanyi mna 9.7% pekee? Hata Uganda wenye ownership yao ilikuwa 22.6% hawalalamiki ile nyie mmekaririshwa tangu utotoni unakutana na kitoto kitanzania chenye miaka 15 kinakwambia mliiba ndege zetu?
Hapo kwa kutafuta views ni mambo ya mkosaji na ubishi tu. Yani nyie hamwezi kubali kitu hata mkipewa evidence mtatafu kisababu cha kukataa hiyo evidence. Mara data za kupikwa, mara mnapenda sifa, mara mnamilikiwa na wazungu - yani saa zingine mimi huchoka kuexplain vitu na facts humu maanake utachukua muda ukiweka facts zako in order alafu mtu mjinga anazitupilia mbali kwa reasons za kijingajinga tu.
Ukikosa kitu Dar utafute Nairobi? Eh? 🤣Wacha kujifanya unajua sana na hakuna kitu unajua, most government services zinapatikana kwa Huduma Centers, na zinapatikana country wide. Nairobi CBD is the biggest commercial hub in the region. They say ukikosa kitu ya kununua Dar is a slum au Kampala, itafute Nairobi.
Just read my comment again and again maana unavyoandika havirelate na My commentHuwezi force mji wetu uwe kama wenu. Ulitaka CBD ibaki na nyumba za kuishi kama hapo kwenu? Nimetoa Upperhill kama mfano. Ofisi za serikali zimetapakaa kote. Nimesema tu Upperhill ina highest concentration of government offices, sijasema zote ziko huko.
University of Nairobi sio the only University in Nairobi. Kuna University Zaidi ya 12 within Nairobi County na zaidi ya 20 within the larger Nairobi metro. Sasa university of Nairobi pekee kuwa CBD ndio inakusumbua? Alafu ni less than 5% ya UoN ndio ipo CBD, ni kama huelewi hiyo University ilivyo. Passports siku hizi tunaapply either online ama Huduma Center ambazo zipo kadhaa Nairobi. Ukiangalia tume nyingi za kiserikali ziko mbali sasa na CBD. KeNHA, KURA, KeRRA ziko JKIA kwa mfano. Main shopping areas and malls haziko CBD. Labda kitu ambacho bado tumefeli ni kupunguza matatu CBD na hilo nishakueleza ni more tricky kusolve Nairobi kisa CBD yetu iko katikati mwa mji wala sio pembeni kama nyie. Anyway, Nairobi is busier tha Dar in all corners, not just the CBD sasa hata ukisema Nairobi inaonekana kuwa busier kisa kila kitu kipo CBD nitakuuliza kwani Easleigh iko CBD? Gikomba iko CBD? Mombasa Road iko CBD? Westlands na Kilimani ziko CBD? All those places are busier than anywhere in Dar save maybe Kariakoo.just
Chang'ombe yenyew sasa. Siku hata mtaa mmoja wa Nairobi ukiwa msafi hiv mtupostieThat slum is Kibera bongolala, if that's what you wanted to show. The usual Kibera you pst here daily.
Talking of that view, what will you say about these ones from your fishing village?View attachment 3356079View attachment 3356081
BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.Ukikosa kitu Dar utafute Nairobi? Eh? 🤣
You people are really funny actually au mnaishi 1977?
So what.?BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Nikon does not have an official shop in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
The thing you need to know is kwasasa mtanzania akikosa kitu Dar anafata China, na ndugu zanu huja huku bongo kununua bidhaa ndio China yao kwasasa.Wacha kujifanya unajua sana na hakuna kitu unajua, most government services zinapatikana kwa Huduma Centers, na zinapatikana country wide. Nairobi CBD is the biggest commercial hub in the region. They say ukikosa kitu ya kununua Dar is a slum au Kampala, itafute Nairobi.
We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂According to this foool. Ati hii ni rooftop parking. 👇🏾🤣🤣🤣🤣View attachment 3355187
Peleka matako we mungiki.We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂
Kama ni Mo tushapigwa hapo mkuu. Mo huwa hazingatii quality bali quantity.nadhani ndio hiyo hiyo mkuu, vipi kwani jamaa wakoje kwenye huduma zao.?
Can you bring the source please?
Am sure hizo facts zako umequote from a Kenyan blogger. How do you expect Kenyan magazine to write what happened.
Nyerere wasn't stupid and cunning
View: https://www.facebook.com/share/v/16WxNwrTfj/
Sawa babu jingaWewe ni kiatu
View attachment 3356211
We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂
Chang'ombe yenyew sasa. Siku hata mtaa mmoja wa Nairobi ukiwa msafi hiv mtupostie
View: https://youtu.be/02XKpuppqHk?si=Ak0I-QD5xT8r7d3f
Tofauti ya Tanzania na Kenya is.BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Nikon does not have an official shop in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum lakini Nairobi iko.