Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mtu mpumbavu usitupigie kelele kwanza those kinda facilities unaziona tu kwa picha. 🤣🤣🤣 unatuelezea vitu ambavyo hujawawahi kuviona live. Huo si ni ukichaa
Unajivunia watu kupanda kwa madirisha. Enyewe primary school dropouts munapenda mediocrity.
 
Obviously hujaiona laundry machine, let alone owning and using one. Mbona Mimi natumia laundry machine kuosha nguo na zinatoka tu safi? Ama uliskia watu wakipiga story na hiyo line ndio ulielewa hapo unataka nayo?
Mi ninapoishi hata kuanika nguo hakuna na nina miaka zaidi ya 15 sijawahi kufua nguo kutumia mikono.
Facts ni kwamba, kwa nguo kutaka ni lazima mikono na soft brash itumike.
 
Mi ninapoishi hata kuanika nguo hakuna na nina miaka zaidi ya 15 sijawahi kufua nguo kutumia mikono.
Facts ni kwamba, kwa nguo kutaka ni lazima mikono na soft brash itumike.
Everyone is entitled to an opinion, the beauty of it is that nobody cares about your opinion.
 
Whatchu think?.. ati kupost hii picha hurts me?… hii ni good publicity.. keep it up … I know you envy my wealth. Btw, my free shoe offer still stands..don’t be a p*ssy , claim ur reward…🤣🤣
Bwaku ngaji unajua hata wakenya wenzako wamekudharau,umri wako na personal yako uliotuonyesha humu aviendani
 
🤣 🤣 🤣
Image
Wivuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Toa uchafu hapa
kati ya middle class yenu, yenye sio slums eti na low class pipeline gani ni uchafu? Wacha picha zijitetee🤣🤣🤣🤣🤣
Nairobi low class pipeline vs Tanzania normal standard uswazi, gani ni uchafu., sio slums, makazi ya kawaida kwa muonekano wenu👇.
6927386831_2ed53fcd0d_z.jpg

images - 2025-04-12T083655.807.jpeg

6927386895_04b93f916e_z.jpg

images - 2025-04-26T012824.599.jpeg

Vs
Pipeline low class estate
figure-1.jpg

images-4.jpg

picture1.jpg

Wajinga wamekataa kuisha Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kati ya middle class yenu, yenye sio slums eti na low class pipeline gani ni uchafu? Wacha picha zijitetee🤣🤣🤣🤣🤣
Nairobi low class pipeline vs Tanzania normal standard uswazi, gani ni uchafu., sio slums, makazi ya kawaida kwa muonekano wenu👇.
View attachment 3354074
View attachment 3354076
View attachment 3354077
View attachment 3354075

Vs
Pipeline low class estate
View attachment 3354080
View attachment 3354079
View attachment 3354081

Wajinga wamekataa kuisha Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250602-115917.png
Screenshot_20250602-111634.png
Screenshot_20250602-115612.png

Hapo wanaishi binadamu au nguruwe?
 
kati ya middle class yenu, yenye sio slums eti na low class pipeline gani ni uchafu? Wacha picha zijitetee🤣🤣🤣🤣🤣
Nairobi low class pipeline vs Tanzania normal standard uswazi, gani ni uchafu., sio slums, makazi ya kawaida kwa muonekano wenu👇.
View attachment 3354074
View attachment 3354076
View attachment 3354077
View attachment 3354075

Vs
Pipeline low class estate
View attachment 3354080
View attachment 3354079
View attachment 3354081

Wajinga wamekataa kuisha Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Habari za jioni bwana zezeta.
 
Wivuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa Leo inabidi niongee ukweli tuu. Aisee hii inchi now tunaelekea pabaya sana yaani Bora ubolt au upande daladala kuliko kupanda mwendokasi. Kwasisi watu wa hali za kawaida tunapata shida na huu mradi yaani usimamizi mbovuu. Imagine hata chengi hawana kwenye vituo vyao!! Kweli? Mtu unakaa kituoni almost Lisa's na zaidi Usafiri hakuna. Useless🚮
 
Back
Top Bottom