Kwa nini mnapenda to dwell in Lala land ?.. hii Mkwakwani au ingine?
View attachment 3353819
Umeokota picha za mwaka gani??According to @ Mkaruka Kichwa , Tanga stadium is of higher standard in comparison to Homa Bay one… You can’t make this sh*t up !.. 🤣🤣🤣
View attachment 3353834View attachment 3353835
Inapotelea Tandale, sivyo?Mombasa??
Tuna boost kidogo Tanga, Mombasa inapotea
Hata Uswazi mumeleta kwa stadium!.. Jirani jameni ?.. ama hizi mnaziita dream stadium kiosks?…🤣🤣😄
View attachment 3353837
Show the entire stadium , not a section of one renovated stand for optic illusion
Hii Dar ya uswazi kila corner ama Dar nyingine?Nairobi haina uwezo wa kushindana na Dar.
Sasa Mombasa utaionea tu.
Juzi nimeona mnalalamikiwa mmeua Malindi.
Doublestack utumie masaa 10 mwenzio anatumia masaa matano , inamaaana kwa siku anaweza piga trip 3 weye trip Moja per dayDouble Stack inawasaidia nn kama yakwetu ni 3km halafu iwe full mzigo watakimbia Uzi
Leta video za hizo UswaziHii Dar ya uswazi kila corner ama Dar nyingine?
Umeshapost sana hii, leta nyingineZipo nyingi sana
View attachment 3353845
Hiyo picha ni ya zamani kabla pitch haijawekwa mpya na isitoshe derby ya tanzania haiwezi kufanyikia hapoKwa nini mnapenda to dwell in Lala land ?.. hii Mkwakwani au ingine?
View attachment 3353819
Nimehesabu haraka haraka nimepata makasha/behewa 54. 😂😂😂Ikishona mzigo inashona mzigo wa nguvu. 😂😂😂
![]()
1.6K reactions · 34 shares | Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!! | Tanzania Railways Corporation
Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!!www.facebook.com