Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Waeleze machawa humu, akili zimeduaa hawaoni tatizo ni kusifia ujinga tu🤣🤣🤣🤣🤣Kwa Leo inabidi niongee ukweli tuu. Aisee hii inchi now tunaelekea pabaya sana yaani Bora ubolt au upande daladala kuliko kupanda mwendokasi. Kwasisi watu wa hali za kawaida tunapata shida na huu mradi yaani usimamizi mbovuu. Imagine hata chengi hawana kwenye vituo vyao!! Kweli? Mtu unakaa kituoni almost Lisa's na zaidi Usafiri hakuna. Useless🚮