Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One off event you say. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hii ndio hali yenu kila siku rush hour.

GOXTVKHXAAAyIHI
Unadhani ni kila sehemu huwa wanajaa hivi!
Ni Kimara tu ndo huwa wanajaa, sasa endelea kujiliwaza.
 
Nairobi haina uwezo wa kushindana na Dar.

Sasa Mombasa utaionea tu.

Juzi nimeona mnalalamikiwa mmeua Malindi.
Nairobi gani? The same Nairobi that was ranked the 6th most dynamic city in the world?
 
Mradi umefeli vipi we zuzu.? Mbona makenya huwa ni mapumbavu.? 🤣🤣🤣 uliona wapi biashara ikifeli kwa kuwa na wateja wengi.?

Halafu unawaita watu primary school dropout.. sasa wewe utakua nani kama unaamini mradi umefeli kwa kuwa na wateja wengi.? 🤣🤣🤣
Ni BRT gani hii dunia watu wanaingia na madirisha apart from hio failed project yenu?
 
Back
Top Bottom