Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,222
- 33,434
Watu wako na laundry machines kwa nyumba lakini wewe bado unaongea kuhusu mambo ya mtu kuomba kufua nguo, ushaiona laundry machine? Let alone kuitumia ama kuimiliki.Kipato duni mnachopata ndio maana wengi wenu baada ya kazi weekend mnatembea majumba ya watu kuomba kufua nguo ana kufanya usafi.
Nation of beggars!