Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy mshezi......sisi kama wakenya tunajua starehe hupatikana..msa....na ...darsum iko nn...... Ama ni....jua na joto kushinda msa
hasira imekushika sana kuskia dar ndio kitovu cha starehe east and central africa😀😀😀😀

wakenya kibao wapo huku wanakula bata😛😛
 
Dogo naona umeanza kuandika matakataka hapa
950k alimwaga yote SA kwa hiyo Uchumi wao ulikua na hicho kiwango ilhali Tz ilipoteza zaidi ya kiwango hicho ukiongezea travel expenses na ndege sio zenu. Simple chekechea economics.
 
Hahahaha ata unajua bibi yake, na Mali yasijui Nani wake? Funga leso mamaa tupatie umbea sasa tunakuskiza mama nanii.
Kitendo cha kukosa kujua mambo mengi, ndicho kinachokufanya uzungumze mambo yanayodhihirisha kwamba huna unalojua lolote hapa duniani, ukiona picha Diamond yupo South Africa, unasema anafaidisha uchumi wa South Africa, alikuja kukaa hapo Mombasa mwezi mzima wakila maisha hapo Diani beach, mbona hulalamiki, Raila alikwenda kupumzika Zanzibar, mbona hulalamiki?, kama huna pesa ya kula maisha rudi Kibera, acha watu watafune raha
 
Kizungu na sheng' huwezi elewa hata kidogo na umefanya vizuri kujieleza si kama ndugu zako wengine hapa.
seriously unataka watu makini wa jf tujiunge JamiiForums.com kujadili upuuzi kama huu?
2913a375b540ce08b3751b5469e0f453.jpg

no man,i better stick with jf.
 
Kitendo cha kukosa kujua mambo mengi, ndicho kinachokufanya uzungumze mambo yanayodhihirisha kwamba huna unalojua lolote hapa duniani, ukiona picha Diamond yupo South Africa, unasema anafaidisha uchumi wa South Africa, alikuja kukaa hapo Mombasa mwezi mzima wakila maisha hapo Diani beach, mbona hulalamiki, Raila alikwenda kupumzika Zanzibar, mbona hulalamiki?, kama huna pesa ya kula maisha rudi Kibera, acha watu watafune raha
Hata wewe unafuata fuata kama mabinti??? Hahaha hata basi leta umbea.
 
I say Tanzania you still have a long way to go
Top 10 best and worst airports in Africa… JKIA has been beaten by Kigali International Airport in Rwanda - Ghafla!
Worst Airports in Africa 2016

1.Juba International Airport, South Sudan (JUB)

2.Port Harcourt International Airport, Nigeria (PHC)

3.Nouakchott International Airport, Mauritania (NKC)

4.Douala International Airport, Cameroon (DLA)

5.N’Djamena International Airport, Chad (NDJ)

6.Dar-es-Salaam Julius Nyerere International Airport, Tanzania (DAR)

7.Zanzibar Abeid Amani Karume International Airport, Tanzania (ZNZ)

8.Lomé–Tokoin Airport, Togo (LFW)

9.Lagos Murtala Muhammed International Airport, Nigeria (LOS)

10.Marrakesh Menara Airport, Morocco (RAK)
 
Back
Top Bottom