Ndiyo sababu nikasema kule kuna wanafunzi wa vyuo zaidi, wanafunzi ndiyo wanaoishi maisha ya kufikirika yasiyo na uhalisia, sasa nchi ambayo mamilioni ya watu wanakufa kwa njaa, kipindupindu, insecurity, malnutrition, na wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe, vipi kuanza kuzungumzia nuclear badala ya hayo mambo ya msingi?
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app

TRIBALISM IN THE KENYAN WORKPLACENdugu,, kule pia kuna sub-forums kama vile hapa Jf. Inategemea na section gani itakayokupendeza.
sasa wewe umechungulia jukwaa la mapenzi la huko unakuja na mihemko.
huko sisi huongea umuhimu wa Nuclear na Coal na jinsi gani itabadilsha dunia
Westlands haiwezifeli kaka. Kwanza ukiniuliza mie, ngara bado changa kwa westlandsNgara iko poa,Westland mmefeli
Tuma za day not night
Apo sawa...colloh alituma vibanda apa full tafraniWestlands haiwezifeli kaka. Kwanza ukiniuliza mie, ngara bado changa kwa westlands
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaah. ..
Hii ni kilimani utasemajeEast Upanga,Kuanzia jengo la Vijana pale kule kwenye density ni Kariakoo,Baada ya kariakoo kule mbele kabisa ni Ilala...![]()
Eastlands inachapa kariako![]()
Tuandikie English basi naona unaharibu lugha adhimu hapaIchoboy mshezi......sisi kama wakenya tunajua starehe hupatikana..msa....na ...darsum iko nn...... Ama ni....jua na joto kushinda msa