Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it's a fact he is the highest paid musician in east and central africa....lavish is ain't a big thing for him.

01fb9e3c9f4ffc22336dd67336ac424b.jpg

emphasis :952k= ksh952,000.
 
Ndiyo sababu nikasema kule kuna wanafunzi wa vyuo zaidi, wanafunzi ndiyo wanaoishi maisha ya kufikirika yasiyo na uhalisia, sasa nchi ambayo mamilioni ya watu wanakufa kwa njaa, kipindupindu, insecurity, malnutrition, na wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe, vipi kuanza kuzungumzia nuclear badala ya hayo mambo ya msingi?

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Jesus said, ''Man shall not live on bread alone''.
 
Sportpesa making Kenya proud right thurr.
tangu sportpesa ianzishe operation zake tz mwishoni mwa mwaka 2016 au mwanzoni mwa mwaka 2017,hatujawahi ona mtz akiisifia.

NB:
azam tv kwa wiki mbili tu ilipokuwa kenya wakati wa mashindano cecafa 2017,tumeona wakenya wakiisifia.
mmoja wao ni huyu .
618435636f03acc492965a6eb9fa7736.jpg

Azam ninayojua ni juice pekeyake
 
Mbona kule JamiiForums.com hakuna discussion nzito kama hapa JF, inaonekana wengi ni watoto wa vyuo, mazungumzo yao ni mepesi sana, zaidi wanazungumzia sex na matusi, kule ni akili ndogo sana, hakunifai kabisa

Nilikwambia huko huwezi toboa zaidi ya siku moja utapigwa makonde urudi JF mbio. Huko hawatambui upuzi wako wa Kenya vs Tz hata kidogo.
 
Nilikwambia huko huwezi toboa zaidi ya siku moja utapigwa makonde urudi JF mbio. Huko hawatambui upuzi wako wa Kenya vs Tz hata kidogo.
Nimepitia discusion zao, too childish as I expected, sijawahi kuona serious discussions from Kenyans, labda Dr. Ndii na PLO, the rest hamna kitu
 
Nairobi City, the commercial hub of E.A when you're in Nairobi don't mess up to visit these areas because are so interested areas
>KIBERA >KAWANGWARE
>KIAMBIU >KOROGOCHO
>MUKURU >MUKURU KWA NJENGA
>MATHARE >MATHARE VALLEY
>UTHIRU >RIRUTS
>SOWETO >GITHURAI
>RUAI >NGUMBA
>DANDORA >HURUMA
>PUMWANI
These areas are so nice to visit, this areas will make you believe that Nairobi is not a typical African City but Its Developed City in Developed Country......
Some of members here may be are coming to one of these suburbs above
 
Nilikwambia huko huwezi toboa zaidi ya siku moja utapigwa makonde urudi JF mbio. Huko hawatambui upuzi wako wa Kenya vs Tz hata kidogo.
Waiteni ndugu zenu wa JamiiForums.com tujekujadili
Waambieni huku matusi No.
East or West, home is always Best.

Parklands

4fKUA.jpg

17097556_701539656685428_1912685152548881822_o-jpg.486116

Ichoboy mshezi......sisi kama wakenya tunajua starehe hupatikana..msa....na ...darsum iko nn...... Ama ni....jua na joto kushinda msa
 
Back
Top Bottom