LangatKipro
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 359
- 439
Ndio maana twahitaji na ninaunga mkono mwelekeo wa kuweko kwa muungano ya jumuia ya afrika mashariki (East African Federation). Guys this will make us top outNakulaa kwa macho...![]()
![]()
Ndio maana twahitaji na ninaunga mkono mwelekeo wa kuweko kwa muungano ya jumuia ya afrika mashariki (East African Federation). Guys this will make us top outNakulaa kwa macho...![]()
![]()
Proveeeeeflying toilets ndio zipi hizo wakati your people are comfortably doing it in d bush
Proveee mbona unabonga tuuu wakati kwenu watu zaidi ya 2.5wanakaa kwa mabanda ya nn cjui niseme maanA hata nguruwe hawez ishi kiberaaNo. slums in Nairobi cover only 6%. Unlike dar is slum which is 90%.
Google tuu au nenda youtube maninaziko wapi hizo clips nione?
Magomeni, Tandale, Jangwani, Mkocheni, Kijikonyama,,,,, maeneo mengi, sema tu sijayashika maana ni magumuSlum ni worst dar???prove wapi wamesema dar kuna slum ka kibera hahahaha kwa slums labda mshindane nA india magabachori wenzenu
Sasa mbona kwenye mziki, you buy Nigeria, Tanzania and USA not Kenyans artists?hilo sio tatizo. Nugu.
Buy Kenya, Jenga Kenya

Mill 20 hela ndogo afu we dont mind coz ka kodi analipa vzur tuu so hiyo hela ya party si ya nn mpaka tutamani party ingefanyika bongo ...kuaga na akil basUbaya sasa Diamond spent his cash in South Africa akaukuza Uchumi wa nchi nyingine badala angefanyia Tz. I hope you get my point.
Povuuu nai na kipindupindu ni ka mapacha tuujuu sinaga umbea.
vipi kuhusu huyu?.Labda anakaa mpaka ya Kenya na Ldc

We buy all. Tz anayesikilizwa ni Ali K na Diamond pekeyake. Naijo kwa sasa wave yao imeingia Kenya jinsi kuna Lingala ilishika Kenya sana. Soon watu watachokaSasa mbona kwenye mziki, you buy Nigeria, Tanzania and USA not Kenyans artists?![]()
![]()
![]()
Tuoneshe data valid kua dar kuna slums hahahahDaresalaam nayo looks slummy in its entirety.........there are clear aeriel views to show the whole world
Idiotshilo sio tatizo. Nugu.
Buy Kenya, Jenga Kenya
Nguo ya kuazima haisitiri Makalio ... Chukua hiyo jinga wewe hahahahaCatch The Spectacular Views Of Mount Kilimanjaro At The Amboseli National Park, Kenya.
View attachment 661378 View attachment 661384
Mshamba wewe uciejua tv channel ilorusha cecafaachana nao hao washamba
Una maanisha nn????ka mnataka wakenya muingie tz kizembe hilo msahau c sio wajinga aseee poleniNdio maana twahitaji na ninaunga mkono mwelekeo wa kuweko kwa muungano ya jumuia ya afrika mashariki (East African Federation). Guys this will make us top out
Niliangalia kwa channel ya KBC.Mshamba wewe uciejua tv channel ilorusha cecafa
Tuoneshe waliposema hayo maeneo ni slums anko ...hakuna slums kwote ulipotaja labda ka unafurahisha nafsi yakoMagomeni, Tandale, Jangwani, Mkocheni, Kijikonyama,,,,, maeneo mengi, sema tu sijayashika maana ni magumu