Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimepata bint mrembo kama Lupita Nyongo hapo Kibera, new year eve nitakuja kula Kibera, nibebe mifuko mingapi ya plastic itakayonitosha for two days?
Muulize Huyo binti akuelezee mbona uniulize Mimi kwani we shoga nini?
 
Truly there is difference between LDC and middle income
access-to-sanitation.png

access-to-sanitation.png
access-to-sanitation.png
 
Muulize Huyo binti akuelezee mbona uniulize Mimi kwani we shoga nini?
Wewe pia si ni mkazi wa Kibera tena kwa muda mrefu zaidi yake?, wewe una uzoefu zaidi yake, nitajie tu idadi ya mifuko, mbona unapanic?,
 
nitaleta screenshot nyingi sana za JamiiForums.com.
Fanya hivyo haraka upesi. We need intelligent Tanzanians to join K'talk forum.... Wale madwanzi wako hapa kina Tamko La Vichaa tunawapima tu
 
950k alimwaga yote SA kwa hiyo Uchumi wao ulikua na hicho kiwango ilhali Tz ilipoteza zaidi ya kiwango hicho ukiongezea travel expenses na ndege sio zenu. Simple chekechea economics.
R u mad hebu soma umeandika nn hafu think
 
Hahahaha mpaka unafungua nyuzi ili ulete hapa?
Nyie wakenya mliopo humu jf mna bahati sana maana mnajifunza vingi ikiwemo umoja maana tumewafunza humu mmeungana na kutetea taifa lenu hongeren cjawai ona mnauliza makabila humu na hiyo inadhihirisha jf ina positive effect kwenu nawashauri muwakaribishe na wenzenu waje wajifunze ustarabu na umoja humu
 
Back
Top Bottom