wakifika "tao"(town) kwa street za CBD wataanza kutuma picha...Nadhani kwa sasa wanaelekea eneo lenye WiFi ili waoneshe barabara na ghorofa lao moja lenye mnara.

Invite them yourself through registering there and tell them the reason for an invitation.Waiteni ndugu zenu wa JamiiForums.com tujekujadili
Waambieni huku matusi No.
a-fart unasema nini?Cc:livale
Mwaswast
Lingatkipro
Colomz
El matador
Jayphat456
Lewis254
1academy
Invite them yourself through registering there and tell them the reason for an invitation.
mi lile li forum silielewagiHahahaha ata unajua bibi yake, na Mali yasijui Nani wake? Funga leso mamaa tupatie umbea sasa tunakuskiza mama nanii.Tatizo lenu ninyi wakenya hamtaki kutafuta information nje ya Kenya, uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana, huwa mnasoma blogs zenu na magazetu yenu ambayo mengi hayana taarifa zilizofanyiwa utafiti.
Zari anaishi South Africa akisimamia mali za Ivan, Diamond ukitoa nyumba aliyonunua huko South Afrika, maisha yake na vitega uchumi vyake vyote vipo Tanzania, anaenda huko South Afrika kwenda kuiona familia yake tu, sasa unaposema anafaidisha uchumi wa South Africa zaidi kuliko Tanzania umetumia vigezo gani kama sio taarifa zq udaku na wivu?
With addition of
>IMARA DAIMA >PIPELINE
>LAiNI SABA >GATINA
>KARIOBANGI >KAYOLE
>KWARE >KWA REUBEN
>MATOPENI >KANGENI
>MUTHIGA
Sio kila siku mnaleta picha za
Old CBD... Upper hill.... Westlands....
Badilisheni location la sivyo Dar will be equal to Nai forever, sawaa
We mbuzi kweli,cha ajabu nini na ni ndugu yetu huyu!!!!.Hahahaha ata unajua bibi yake, na Mali yasijui Nani wake? Funga leso mamaa tupatie umbea sasa tunakuskiza mama nanii.
Hasa hivi kila kona kuna vita ya maneno Tz Vs Ke
Tunako elekea ni patam sana
Wakenya wameshikwa vibaya hali ni tete
![]()
Huyu hapa motodown anajua JamiiForums.com si mchezo alijaribu kuingia na upuzi wa dar vs Nairobi akatoka mbio bila kufukuzwa.![]()
mi lile li forum silielewagi
Mnafuata fuata mwanaume kama mabinti ama nyie mashoga.We mbuzi kweli,cha ajabu nini na ni ndugu yetu huyu!!!!.
Ulitaka tutaje bibi yako???
Ila punguzeni matusiHuyu hapa motodown anajua JamiiForums.com si mchezo alijaribu kuingia na upuzi wa dar vs Nairobi akatoka mbio bila kufukuzwa.
Povu.Mnafuata fuata mwanaume kama mabinti ama nyie mashoga.
Ila punguzeni matusi
Povu.
Diamond ni mdogo wetu,kaka yetu,mtz mwenzetu.
Sio jukumu lake kunilisha starehe.Anafaidi SA akakusahau wewe mtanzania uendelee kuishi Tandale.
Imekugusa ukawashwa.Stupid.
Dogo naona umeanza kuandika matakataka hapaAnafaidi SA akakusahau wewe mtanzania uendelee kuishi Tandale.