😁So Eastlands ni Pipeline pekee?
picha za miaka hizo squatters wa jangwani zote zimeshavunjwa now kupisha mradi was msimbazi valley redevelopment.Stop comparing Kawangware na hiyo jehanamu. Kawangware is a slum but just like most slums in Nairobi, more than half of houses there are apartment blocks. Yani nyumba ziko na choo na bafu ndani yet it's still considered a slum
View attachment 3350637View attachment 3350638View attachment 3350639View attachment 3350640View attachment 3350642
Sasa linganisha hiyo Kawangware slum ni hizi hapa that dot your entire city View attachment 3350643View attachment 3350644View attachment 3350645View attachment 3350647
Mbona hapo ni Kariakoo.Danganya wale hawajafika kule ama wasiojua kuhusu Dar. sisi tuliofika huko tunajua vizuri. Ingawa sio lazima kufika ndio tuoate habari, this is 2025😅😅😅
Daresaalam watu wamejaa mpaka kwenye barabara watu, bajaji, mwendokasi,pikipiki,mkokoteni wtc wanangangania barabara moja 😅
View attachment 3350721
Hawaelewi hata ni muda gani bendera huonekana na kutoonekana na kwanini. 😂😂😂Ukiishi kwenye nchi ya watu wenye njaa kali lazima ujifiche.
HIyo ni gharama ya demokrasia, in democracy anyone can be elected.lakini nikuulize mbona mkubaliwe mtawaliwe na wabunge wenye ni primary and high school drop out?ushwai kaa chini na mtu mwenye elimu ya kiwango cha chini ukasikia venye hufikiria na mwenye elimu ya juu ukaona tofauti? wacha tutoe tu siasa apa? nipe jibu mwafaka..
Wao wanaona kinacho fanyika kwao ndio sahihi.HIyo ni gharama ya demokrasia, in democracy anyone can be chosen.
Ndio maana hata Kenya mlichagua mvuta bange na haba, Salasya.
That is Kibera bongolala, an area measuring just 2.5 sqauare kilometers and the biggest slum in Nairobi. Nairobi is more than 1,500 square kilometers. Yani ukitoka tu hapo Kibera hivi, next step unaingia Lang'ataView attachment 3350650View attachment 3350652View attachment 3350653View attachment 3350654View attachment 3350659View attachment 3350661View attachment 3350662
Now tell me, ukitoka Tandale ama Keko uswazini unaingia mtaa upi next door wa maana if not another uswazi hovel followed by another which is also followed by another?
Nairobi is surrounded by slums? Really? This is part of eastlands (parts of Umoja, Donholm and Buru Buru) show me anything that looks like a slum here
View attachment 3350686View attachment 3350687View attachment 3350688
And these ones here are parts of Nairobi north( Ruaraka, Zimmerman, Roysambu and Kasarani). Tell me, do you get any vibes of slums in the images? View attachment 3350677View attachment 3350680View attachment 3350682View attachment 3350683
Zoea maisha ya uswazini polepole View attachment 3350691View attachment 3350692
Kwani CBD ni nini?Najua Kariakoo na najua CBD. Wacheni kuficha aibu. Mnaikataa CBD yenu kisa nimefika huko nikawaexpose. Picha ya Kariakoo hii hapa niliichukua.
View attachment 3349997
Kwenye video yako YouTube. Kuna mtu kakutajia mitaa yote ya dar CBD. Refer huko.Nakuuliza tena instanbul, nichoree CBD ya Dar kwa hii map.
View attachment 3350696
Weka Ile video yake tunajambo letuKwenye video yako YouTube. Kuna mtu kakutajia mitaa yote ya dar CBD. Refer huko.
Uelimishwe mara ngap
Wabunge nchini Tanzania siyo watawala ni wawakilishi wa wananchi.lakini nikuulize mbona mkubaliwe mtawaliwe na wabunge wenye ni primary and high school drop out?ushwai kaa chini na mtu mwenye elimu ya kiwango cha chini ukasikia venye hufikiria na mwenye elimu ya juu ukaona tofauti? wacha tutoe tu siasa apa? nipe jibu mwafaka..
Hizo ni sheria za bongoslum. In Kenya bora unakubaliwa kuweka flag, unaweza iweka hata on your personal car.Hivi gari ya balozi inaweza plate number za Tanzania .🤣🤣🤣🤣
Kweli wakenya wajinga sana
![]()
What you need to know about Kenyan number plates
The issuance of number plates is done by the registrar of motor vehicles.www.the-star.co.ke
Country codes for diplomatic number plates in Kenya
Diplomatic number plates for diplomatic cars in Kenya have distinct red plates with a specific number assigned to a country plus the letters CD.
The number plates were assigned to the countries with embassies in Kenya in the order that they recognized Kenya’s independence. Germany (then West Germany) was the first country to recognize Kenya’s independence so they have the diplomatic plate 1 CD as so forth. UN bodies also have diplomatic plates in Kenya
Huwez weka bendera ya taifa kwenye gari ya private . Mkajifunzege protocally