Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama haukuelewa hii👇👇jibu kwa vile wewe ni mzembe wa kusoma all the information hapa plus a pdf ya KNBS, hatuna discussion yoyote hapa., niletee picha za Dodoma ama Darslinga dogo..,
 
Content ya hii mbunda kibera walker hii hapa. 🤣🤣🤣 👇🏾
View: https://youtu.be/mP719lUq-9s?si=ojKOgt2j4Pqwv4Ja. Mara tunapigizana kelele na hii mbwa eti na yenyewe inadai inajua Kiswahili. 🤣🤣🤣 Haya iskilizeni inavyoongea, mbunda hii. Njia nzima wanabisha na demu wake jinsi ya kushika camera. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣 wonders shall never end. Njoo hapa fala mkubwa wewe NairobiWalker. Mbunda kibera walker 👇🏾
 
1. Dar doesn't have more people than Nairobi. You can say there are more people within Dar City boundary but the total urban area of Nairobi has more people than Dar.
Support this myopic thinking with any source
Trashy
 
Tema jaba hiyo.

Jaba na Githeri ni sumu
 
Nimesema tukiendelea Kubisha kuhusu Population nakuacha na ujinga wako.
 
Siku mkimaliza bandits na terrorists wanaoua Mapadre, wavuvi, wanavijiji na kuteka Machief mje tuongelee vita. Mnashindwa kushot down technologies na kukamata bandits wanaoisumbua Kenya na kufanya maeneo ya ndani ya Kenya kutokuwa safe.
Ni eneo gan ndani ya Tanzania sio safe? Look at how Tanzania has capabilities of keeping peace the whole country.

Tatizo la Kenya ni kamdomo. Mnaongea sana. Mnajipiga vifua kwa ujinga na upumbavu. Tena hiv majuzi baada ya kuonyesha akili za wakenya wanavyobishana kwenye sakata la Martha karua. Watz wameongeza dharau. Yaani kwa sasa Kenyans mnaonekana watu wa hovyo mbele ya watz.
 
Yaani Kenya kuna wahuni tu wanafanya nchi inakosa usalama kioa kona isipokuwa Nairobi.
  • North Rift Region:
    • Turkana County


    • Baringo County


    • Samburu County

    • West Pokot County


    • Elgeyo Marakwet County


    • Laikipia County
  • Eastern Region:
    • Kitui County

    • Tana River County

    • Isiolo County
    • Marsabit County

    • Meru County


    • Nandi County
Wakati TZ mabasi ya Abiria yanatembea nchi mzima, usiku saa 24/7
 
Kama mmewashindwa Alshabaab muwaweze JWTZ!?
Mkizingua tunaweza kumpaka futa Kila mtu hapo Nairobi.
 
Mapato ya regions kwa Tanania hayahusishi taxes what municipals and councils collect ni tozo tuu mostly za busiess licence and other services.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…