NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,011
- 19,188
Haibadilishi kitu kuwa kaomba msamaha , nyinyi ndo mnapanick kwanini kaomba msamaha
Hakuna siku mtaanzisha vita viongozi wenu wasipige magoti toka Enzi za kenyattta mkubwa.
🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://x.com/Kenyans/status/1927644467357524452?t=0Ln0fzeM-_EN8VHT0EEiHw&s=19
Pale kwa Whatsapp status.