Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We will know the truth
You mean the way you knew Talanta was Chinese built?😅
IMG_5824.jpeg
IMG_5825.jpeg
 
If you are Keen enough following up these recent developments in the region, you'll know that CCM Kuna watu wao hapo kunya that they do respect the Most,
One of them is that Madam Martha Karua. I believe they have lots of common dealings in their political life.
Ni kama CCM wanaheshimu Martha Karua kuliko hata William loot all.
few weeks ago William Loot all, (the most corrupt president in the universe) while on his begging mission aliropoka maneno huko China kuhusu Tanzania and no one in CCM bothered.

Ila Leo na Jana naona top CCM leaders mentioning the name of Martha Karua mara kadhaa kwenye podiums. CCM hawawezi kukutaja kwenye mikutano Yao kirahisi tu.

Nimeona pia Martha na jeuri yake she's responding to CCM senior leaders with such great respect..
It's good thing to see we respect each other In that way, that clown Boniface was just a Victim.

Labda niwakumbushe wakenya, you may have issues with mama Samia, and you can mess up with her, but be informed you can't afford to to mess up with CCM. CCM ni kubwa sana kuliko mama.
View attachment 3342492
Can you talk ill about suluhu the same way you do with lot all? 😅
 
Kwani kuna shida serikali ikifanya project zote?
Yes! Kazi ya serikali sio ya kujenga malls au mahoteli! Ingawa inaweza, ila sio entirely! Kwa nini wasi build capacity ndio wananchi wafanye hizo biashara?
 
Wakenya wanamtazamo tofauti na sisi, wao serikali haitakiwi kutoa huduma bora.

Ndiyo maana huduma za umma kwao ni mbovu sana. Kuanzia airport, stand za mabasi, vivuko kama Lukoni, masoko. Sasa unajiuliza serikali iko kwa maslahi ya nani?
But Kenya has better and more modern markets than Tanzania.
 
Back
Top Bottom