President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,377
Watuambie baada ya kupimwa amekutwa na nini?
View: https://x.com/StandardKenya/status/1925528463500341504
View: https://x.com/StandardKenya/status/1925528463500341504
Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo sana inayofanya maamuzi iliyopo.Nguvu gani kubwa iliyotumika?
Ulifuatilia namna ambayo walivyokuja na ideology waliyonayo?
Siisapoti CCM ila walichokifanya ni sahihi kwa hao wakenya.
Na unabisha kama hao sio wanaharakati au siyo?
Mzee hakuna mwenye akili ndogo. Kama umeshindwa kuelewa usiwaite wenzio wanaakili ndogo. Tuliza k3nde zako.Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo.sana ya kifanya maamuzi iliyopo.
Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kifanya nchi isitawalike??
Kwenye TV channel gani au redio gani as you claimed?Kwani hamjaomba?
Mlitupa masaa 24 tukawapuuza.
Leo siku nzima mnaomba na barua mkaandika.
Kashikishwa adabu akatupwa Ukunda.
Kijamaa walikichukua na boda boda wakakitelekeza huko vichakani mpakani mwa kundurenda. 🤣🤣🤣.
View: https://www.instagram.com/p/DJ85ZW5N12L/?igsh=MXVma2lzMmxwbm1zeQ==.
Unabisha nini? be specific.Kwenye TV channel gani au redio gani as you claimed?
UtakufaMzee hakuna mwenye akili ndogo. Kama umeshindwa kuelewa usiwaite wenzio wanaakili ndogo. Tuliza k3nde zako.
Huku tunapiga tu. Outer ring road Dodoma kukamilika mwishoni mwa mwezi wa 8. Ni zaidi ya 120Km
View: https://youtu.be/bokUdQ3GvDY?si=5UXwnxakkvjQOhVz
Wanasema hawezi kutembea vizuri
hadi ashikiliwe, sijui vijana wamemfanya Nini
View: https://x.com/kenyasgossips/status/1925505998153728451?t=70syQeWaLyXTAni7lp6K2g&s=19
Watu walioshindwa maisha wanasumbuka sana.Wimbo umetengenezwa na AI, Sio mtu halisi.
Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.Yes Kuna a massive mall coming up but iko on your way to Elgon View, the massive construction in Pioneer estate, Eldoret ni affordable housing wachana na huyo fala mwenye amepost hiyo clip, huyo amevuta na kutafuna vitu zake 🤣🤣🤣., was here a month ago..,
View attachment 3342181
View attachment 3342182
View attachment 3342184
View attachment 3342183
View attachment 3342180