Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,924
- 103,797
Mlisema tutaomba msamaha kwenye TV na radio for a whole week. Have you forgotten?Unabisha nini? be specific.
I knew your government wouldn't have taken long before coming up with an airport project in Serengeti after Kenya did the same with Narok airport. Copycats who use Kenya as their yardstick for development projects. Can't you just think on your own?Kundustan jiandaeni Kwa maumivu zaidi Kwa miradi hii miwili
1.Serengeti International Airport
View attachment 3342370
2.New SGR Kutoka Tanga Port-Isaka and it's branch to Kusoma via Arusha.
View attachment 3342371
Mombasa & Lamu port zinaenda kuwa white elephant 😁😁
Boniface Mwangi kaingia Tanzania karudi Abdallah Mwangi.Mlisema tutaomba msamaha kwenye TV na radio for a whole week. Have you forgotten?
Maumivu yameanza wahi Kwa daktari 😁😁I knew your government wouldn't have taken long before coming up with an airport project in Serengeti after Kenya did the same with Narok airport. Copycats who use Kenya as their yardstick for development projects. Can't you just think on your own?
How's life treating you there in uswazini? It must be do painful seeing such housing projects in Kenya wakati nyinyi mmekwama na uswazi zenuChumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.
Kundustan jiandaeni Kwa maumivu zaidi Kwa miradi hii miwili
1.Serengeti International Airport
View attachment 3342370
Serengeti international Airport inaenda kuua ,Serengeti.
SGR kutoka Tanga Port kwenda Isaka ni good idea.2.New SGR Kutoka Tanga Port-Isaka and it's branch to Kusoma via Arusha.
View attachment 3342371
Mombasa & Lamu port zinaenda kuwa white elephant 😁😁
When was Serengeti airport visualized?Maumivu yameanza wahi Kwa daktari 😁😁
Tumekuwa na Mpango wa airport hapo Mugumu miaka Mingi Sana ilikuwa ni ishu ya pesa na maamuzi tuu.
Kwa taarifa Yako tuu tunapanga international airport nyingine upande wa pili wa Ziwa huko Kagera.
Kijamaa walikichukua na boda boda wakakitelekeza huko vichakani mpakani mwa kundurenda. 🤣🤣🤣.
View: https://www.instagram.com/p/DJ85ZW5N12L/?igsh=MXVma2lzMmxwbm1zeQ==.
🇹🇿🇹🇿 Hatufanyi mipango yetu kw Ajili ya KundustanWhen was Serengeti airport visualized?
Nani alisema mtaomba msamaha kwenye TV na Radio?Mlisema tutaomba msamaha kwenye TV na radio for a whole week. Have you forgotten?
Ila uwanja wa ndege mpya Kagera ni tembo mweupe! Ule uliopo tangu kipindi cha Kikwete upo underutilized! Sijui inakuwaje wanaenda kujenga mwingine sehemu ina uwanja Chato, Kigoma, Geita, Shinyanga, Mwanza na Bukoba! Waache upuuzi! Ni bora wa Kigoma ukawa international!Kundustan jiandaeni Kwa maumivu zaidi Kwa miradi hii miwili
1.Serengeti International Airport
View attachment 3342370
2.New SGR Kutoka Tanga Port-Isaka and it's branch to Kusoma via Arusha.
View attachment 3342371
Mombasa & Lamu port zinaenda kuwa white elephant 😁😁
Babu tushakuelewa,ila mandhari ya hii thread unawapa point tu kunyan,kuna majukwaa ya kutolea nyongo mbona,hapa tuachieni hizi kunyan tuzinyoosheTanzania haina taasisi.
Huoni matatizo kwasababu muda wake bado, au wahusika wanapata wanachotaka.
Mtu wemye akili hapambani kwa nguvu na wanaharakati 6 halafu anajisifia.
Tunvekuwa na matatizo hata nusu ya Kenya, DRC au Mozambique hao watawala wa sasa, labda wangekuwa walishakufa
Tatizo ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.I knew your government wouldn't have taken long before coming up with an airport project in Serengeti after Kenya did the same with Narok airport. Copycats who use Kenya as their yardstick for development projects. Can't you just think on your own?
Hata Mimi naona wasingeujenga lakini Cha ajabu naona Serikali Iko busy japo huenda wanalenga kuijenga kule kwenye mgodi wa nickel.Ila uwanja wa ndege mpya Kagera ni tembo mweupe! Ule uliopo tangu kipindi cha Kikwete upo underutilized!
Naelewa, ila kuna mtu hapo juu ndio alianzisha hizi siasa.Babu tushakuelewa,ila mandhari ya hii thread unawapa point tu kunyan,kuna majukwaa ya kutolea nyongo mbona,hapa tuachieni hizi kunyan tuzinyooshe