Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes Kuna a massive mall coming up but iko on your way to Elgon View, the massive construction in Pioneer estate, Eldoret ni affordable housing wachana na huyo fala mwenye amepost hiyo clip, huyo amevuta na kutafuna vitu zake 🤣🤣🤣., was here a month ago..,
View attachment 3342181
View attachment 3342182
View attachment 3342184
View attachment 3342183
View attachment 3342180
Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.
 
Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.
Pole walala uswazi., usipotee njia tafadhali 🤣.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,
 
Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo sana inayofanya maamuzi iliyopo.

Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kufanya nchi isitawalike??
Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.
 
Mfano huu wimbo nimetumia dakika tano kutengeneza. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Ni wimbo wa karibu dakika nne.

View attachment 3342204
Watanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.

Kuna vichaa wa UVCCM wametapakaa kila kona ya Tanzania. Walitulizwa na kuambiwa waacheni.

Uzuri wa Tanzania vijana wapo Controlled na wanasikiliza viongozi wao.
 
Wimbo ni mrefu ngoja niweke audiomack nikupe link. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
View: https://x.com/Samia_Did/status/1925574163877535809

GrkDamzXQAAtaje
 
Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.
Tanzania haina taasisi.

Huoni matatizo kwasababu muda wake bado, au wahusika wanapata wanachotaka.

Mtu wemye akili hapambani kwa nguvu na wanaharakati 6 halafu anajisifia.

Tunvekuwa na matatizo hata nusu ya Kenya, DRC au Mozambique hao watawala wa sasa, labda wangekuwa walishakufa
 
Pole walala uswazi., usipotee njia tafadhali 🤣.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,
Hapa ndio akili zilipopishana na maisha. Endelea kuwa mtumwa
 
Aren't you forgetting something that your country is a third world country as well?.
If you say so, Na wewe vuka boda uje ukosoe huku. Uone namna unanyonywa ma.vi.
Kuna Nini ya maana hapo nivuke nipate!
Nchi ya wanaume waoga kama wanawake !
Si heri nivuke niingie Addis kuliko iyo nchi ya watoto
 
Back
Top Bottom