Hata wewe UTAKUFAHakuna namna. Lazima achezee kamba. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hata wewe UTAKUFAHakuna namna. Lazima achezee kamba. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hiloHata wewe UTAKUFA
UTAKUFA pia.Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hilo
Wakirudi huwa hawasemi wamefanywa nini na hata wakisema hawasemi ukweli wote, huyu harudii tena. 😂😂😂
Kilometers 474 kutoka Dar es Salaam.
View: https://x.com/c_nyakundih/status/1925488581461582313?s=46
Huyu hapa. 😂😂😂Kibabe sana. Amepelekwa hospital 😂😂
Haina shida, maadam watanzania wote tumekubaliana mtu mmoja kunyongwa 🤣 🤣 🤣 🤣UTAKUFA pia.
UtakufaHaina shida, maadam watanzania wote tumekubaliana mtu mmoja kunyongwa 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio kibwagizo chako cha leo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . TL ananyongwa ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa TV zote zikiona.Utakufa
UTAKUFANdio kibwagizo chako cha leo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . TL ananyongwa ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa TV zote zikiona.
Watanzania uchawa na njaa unatusumbua sana na hatuwezi kuendelea kwa fikra kama izi,tatizo lingine watanzania na ccm kwa ujumla wanajifananisha na chama cha kikomonisti cha china wanasahau kwamba china hamna uchawa na kuna uajibikaji unless tuwe tayari kubadilika ndio tutaona maendeleo ya kweli haya maendeleo ya sasa ni baby steps tuu na tunajifananisha na maskini mwenzetu kenya ambaye naye kajiona kaendelea kwa kuwatukana viongozi wao kumbe hamna loloteTulipigania uhuru wa nini?
Lengo la uhuru lilikiwa nini?
Matendo gani ya wakoloni ambayo watawala wa sasa hawafanyi?
Kila sehemu kuna matatizo.
Na watu wema huwezi kuwaweka mipaka.
Siyo kwamba TZ kila jambo ni zuri na siyo kwamba kila jambo Kenya ni zuri.
Kijamaa walikichukua na boda boda wakakitelekeza huko vichakani mpakani mwa kundurenda. 🤣🤣🤣.
View: https://www.instagram.com/p/DJ85ZW5N12L/?igsh=MXVma2lzMmxwbm1zeQ==.
Tulipigania uhuru ili tujitawale na tupate sovereignty yetu wenyewe.Tulipigania uhuru wa nini?
Tulipigania uhuru ili tupate sovereignty yetu.
Lengo la uhuru lilikiwa nini?
Lengo kuu ya uhuru ni kujitawala sisi wenyewe.
Matendo gani ya wakoloni ambayo watawala wa sasa hawafanyi?
Nchi yako ina ubaguzi wa rangi?
Nchi yako unahudumiwa huduma za kijamii kulingana na matabaka??
Kila sehemu kuna matatizo.
Na watu wema huwezi kuwaweka mipaka.
Siyo kwamba TZ kila jambo ni zuri na siyo kwamba kila jambo Kenya ni zuri.
Anatembea huku anabinua kitako.Apone aje atuambie walimfanya nini. 😂😂😂
Ndugu mbaya kwenye nini?Tulipigania uhuru ili tujitawale na tupate sovereignty yetu wenyewe.
Sawa Kila sehemu Kuna matatizo ila NDUGU MBAYA SIO JIRANI MWEMA.
Hakuna mgeni aliyekuja kifanya harakati TZ.Uanaharakati mzuri kama wa kina Malala ndio unaohitajika.
Hakuna Mkenya liyekuja kifanya harakati TZSio kama uanaharakati kama wa Kenyans.
Je uanaharakati wao ulileta manufaa kwao!?
Unataka Tanzania turuhusu uanaharakati wa kuharibu mali za umma,kutukana viongozi na kufanya vurugu kama Kenya!?
Hao wakenya 6 walikuja kuanzosha maandamano.??Umeona maandamano ya gen Z yalivyoharibu mali za watu na mali za umma na kusababisha vifo vingi!?
Kukomaa na wa waharakati 6, kwa kutumia nguvu ni TOO LOW na UJINGA tu.Unataka uanaharakati kama ule!??
Bro embu tumia akili hata kidogo.
Ideology ya wanaharakati wa Kenya ni unacceptable, walitaka kutugaia ideology za kina gen Z ni ujinga.
Nguvu gani kubwa iliyotumika?Ndugu mbaya kwenye nini?
Hakuna mgeni aliyekuja kifanya harakati TZ.
Hao wageni walikuja mahakamani, kama observer na hakuna sheria yoyote waliyovunja.
Tujifunze kuhwleshimu taratibu tukizojiwekea.
Hakuna Mkenya liyekuja kifanya harakati TZ
Hao wakenya 6 walikuja kuanzosha maandamano.??
Yaani wanaharakati 6, walikuja kuanzisha maandamano TZ.
Kukomaa na wa waharakati 6, kwa kutumia nguvu ni TOO LOW na UJINGA tu.
Watu 6, nguvu tani 600, siku tukipata majanga nchi hii tutaweza kweli??
Wanasema hawezi kutembea vizuriApone aje atuambie walimfanya nini. 😂😂😂