COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
SOI Riverside drive....all about class not too many lights
Nimeona hapo basement mkuu, ruka sana debe msimu huu sikukuu + Holiday, starehe juu ya starehe tunakula raha!Weka tuone siyo maneno kijana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
tuliwapea msaada..jee mmewai saidia kenya kwa namna yyte ileJibu swali kwanza ndiyo uulize
Mlijipendekeza ili tuendelee kuwapa chakula, kama mlivyojipendekeza kwa USA ili muendelee kupata msaadatuliwapea msaada..jee mmewai saidia kenya kwa namna yyte ile
Tanga look better.mombasa baeView attachment 660772
Unaipatia gazeti la Kenya umaarufu huko Tanzania na Nina uhakika hapa JF hakuna Mkenya yeyote anajua hata vile gazeti zenu zinakaa.Once again am asking,btn UHURUTO na PLATINUMZ,who makes headlines on kenyan media?![]()
![]()
![]()
Huku Tanzania huwezi kuta neno Kenya katika gazeti lolote lile, hata Uhuru Kenyatta hakuna gazeti linataja jina lake, wasanii wa Kenya ndiyo hawajulikani kabisaaUnaipatia gazeti la Kenya umaarufu huko Tanzania na Nina uhakika hapa JF hakuna Mkenya yeyote anajua hata vile gazeti zenu zinakaa.
Lakini gazeti la Kenya lina following huko mfano ikiwa your likes hapa JF.Huku Tanzania huwezi kuta neno Kenya katika gazeti lolote lile, hata Uhuru Kenyatta hakuna gazeti linataja jina lake, wasanii wa Kenya ndiyo hawajulikani kabisaa
Hilo lipo online, tunapitia online ili tupate points za kuwashambulia, sio zaidi ya hapoLakini gazeti la Kenya lina following huko mfano ikiwa your likes hapa JF.
Hivi mko na platform kama jf ambayo watz wanajadili kwa wingi kama ilivyo kwa wakenya humu jf??Unaipatia gazeti la Kenya umaarufu huko Tanzania na Nina uhakika hapa JF hakuna Mkenya yeyote anajua hata vile gazeti zenu zinakaa.
Nilijiunga kenya Talk. Baada ya kuona ninatofautiana nao walinifungia milele. Wakenya hawana uhuru kwenye mitandao yao. Imetawaliwa na Kikuyu.Hivi mko na platform kama jf ambayo watz wanajadili kwa wingi kama ilivyo kwa wakenya humu jf??