evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Hakuna ya mount Kenya?hakuna ya dar es salaam
Hakuna ya mount Kenya?hakuna ya dar es salaam
nlidhani ni nai vs dar hapaHakuna ya mount Kenya?
prism- kings real estate (fully kenyan owned)Hivi haya majengo yanamilikiwa na nani hapo Nairobi
Prism
Britam
Hao watu wanamihela wanafanya shunghuli gani?prism- kings real estate (fully kenyan owned)
britam-britam kenya(fully kenyan)
kwikwikwi yaani nakuona unavyohaha kutafuta vipicha.city hall nairobiView attachment 660760 View attachment 660761
Ivi unaota au ni mzimu unaongeaa.. Maziwa tunayokunywa ni Asilimia 90% kutoka Tz.. Kama umeshawahi kuskia Tanga Fresh, Kiwanda kikubwa cha Maziwa.. Kinambaza karibia maeneo yote Tz.. Juz juz tu walikua wanalia wapewe kibali cha kuuza nchi za nje maana production ni kubwa.. Asilimia 85 ya maeneo yote Tz yana Ngombe hatuna uhaba Wa maziwa sisiSasa Kenya itategemeaje nchi ldc kama yenu? My friend there's something calked international trade. The fact that we import maize from your country doesn't mean we don't produce our own. There's something called deficit which I don't need to explain to you coz I believe u know what it is. Hata maziwa mnayokunywa inatoka Kenya, does it mean hamna ng'ombe danganyika?
Nakuona umefumania pichakuna fala anadai ma club
CLUB W Langata RoadView attachment 660774 View attachment 660775 View attachment 660776
Jibu swali kwanza ndiyo uulizekilitoka tanzania ama china?