Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar Fumba city

003.JPG

004.JPG

03.jpg

25790959_10208150625163002_8863717242983532421_o.jpg

26024204_10208150627683065_7574098938243930590_o.jpg

26171495_10208150628443084_7901347557881292826_o.jpg

26063243_10208150628883095_2253566237184139964_o.jpg
 
Nilijiunga kenya Talk. Baada ya kuona ninatofautiana nao walinifungia milele. Wakenya hawana uhuru kwenye mitandao yao. Imetawaliwa na Kikuyu.
Hahahaha huko ulipigwa na hoja ukatoroka bila kufukuzwa. Hebu ambia wenzako wajaribu kujiunga uone watarudi hapa hapa na kilio.
 
Nilijiunga kenya Talk. Baada ya kuona ninatofautiana nao walinifungia milele. Wakenya hawana uhuru kwenye mitandao yao. Imetawaliwa na Kikuyu.
Kiingereza nyingi na Sheng' zilikufanya u-feel uncomfortable
 
Huku Tanzania huwezi kuta neno Kenya katika gazeti lolote lile, hata Uhuru Kenyatta hakuna gazeti linataja jina lake, wasanii wa Kenya ndiyo hawajulikani kabisaa
Neno Kenya liko mdomoni mwako 24/7 hadi ukilala unaota Kenya.
 
Kiingereza nyingi na Sheng' zilikufanya u-feel uncmfortable
Hakuna kitu kama hicho. Nipo Nairand mbona tunaenda sawa tu. Tatizo wakenya hawawapendi Watanzania. Ninyi hapa JF mpo free kuonesha hisia zenu.
Kenya talk ni ya kishamba sana.
 
Hakuna kitu kama hicho. Nipo Nairand mbona tunaenda sawa tu. Tatizo wakenya hawawapendi Watanzania. Ninyi hapa JF mpo free kuonesha hisia zenu.
Kenya talk ni ya kishamba sana.
sasa munataka mupendewe nini surely na venye mko very poor?
 
Kenya's best forum 'Mashada' which started almost the same as Jf ilifungwa. K'Talk ni mpya.
Wakenya walihamia Twitter
Nyie ni washamba siyo wastaarabu. Matusi mengi na picha za ngono kwenye public media. Ni ushamba na stress zenu. Hamna uwezo wa ku-control hisia zenu.
 
Hakuna kitu kama hicho. Nipo Nairand mbona tunaenda sawa tu. Tatizo wakenya hawawapendi Watanzania. Ninyi hapa JF mpo free kuonesha hisia zenu.
Kenya talk ni ya kishamba sana.
Huko ulishindwa kuzistahimili facts ikabidi urudi kulia lia hapa.
 
Back
Top Bottom