Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AF1QipOPDVKm16QO6B6iX26MnL9VF0luuAkGq307iLm5=s0



rapsodys-dar-es-salaam-iris-africa-2.jpg


AF1QipOOqng887yFkZkLGcJy30EPb-UMCQeZoGIzzxhQ=s0


GRAPESTZ.jpg


__800x800_578db59c26f91.jpg
 
hapo sawa naeza kam soon kujinyc...ila headquarters ya raha hii africa ni Nairobe
Nairobi hapana starehe hapo msee, av been there, bora hata uniambie Mombasa.
But kama ni kweli unataka kula bata, msee uje Dar es Salaam, aisee you will abandon your family.
 
Povu,jasho,udenda.

Kama unataka kusikia tz ikiongoza ukanda huu,weka hasira pembeni utulie,tumeanza na kuizika nai kwanza ili muache kiherehere,sambamba na hayo hizi project kubwa mpaka 2020 zinaifanya kenya kuwa kama kambwa kadogo kwa tz.

Mpaka sasa baada ya uzi huu wakenya wengi mmeishaanza kuhisi kifafa baada ya kuiona dar vyema kupitia uzi huu.leo hii wote kimyaaaaaa.

Mmebaki na kelele za superhighway,tuna SGR ya 160 km/h kwa distance ya 600km.so wakati mnafikiri 1,sie tunawaza 5.
Tumeanza na utalii,ijapokuwa ATCL bado hajaota meno tumeshadominate tourism loh!
Sitaki kuamini kwamba mapato ya utalii Tanzania ni makubwa compared to other east African countries combined
 
Back
Top Bottom