mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Meri zimeachwa kuzalishwa!!!!!Ngombe watazaliwa wengine lakini meli itapotea kama vile tu bombardier....hahaha.
Meri zimeachwa kuzalishwa!!!!!Ngombe watazaliwa wengine lakini meli itapotea kama vile tu bombardier....hahaha.
Ukweli mkuu, unajua hii ya sisi Kuitwa LME(low middy economy) wakati ipo kwenye makaratasi, inauma sana,coz,GDP imepikwa,uchumi umedumaa,BIGGEST PIG-LIKE SLUMS, poverty, growth of 4.5% economy.inatuumiza sana sisi wakenya.Washamba mliojawa na wivu, hivi lini Hii nchi yetu tukufu ya Tanzania itaongoza ukanda huu wa Africa ya mashariki na kati? Kila Saa tupo number 2 ilhali KENYA imejaza ukabila,njaa na ugaidi.
Na je mbona hawa manyang'au kila kitu kwao rahisi kujenga? Si JKIA, Thika superhighway, SGR kilomita mia Tano wakati yetu hijulikani wapi na wapi, LAPSSET washaanza sisi hata ile ya Dar bado ndogo sana, Nchi yetu yenye rotuba na raslimali za kila aina ilhali Kenya ni jangwa la kutupwa na bado wanatubabaisha hata kwa JF. Sisi watanzania tuna shida mingi sana na jinsi kuzitatua ni sisi wenyewe wala si kuwashobokea waKenya....Hapa kazi tu slogan naona ni ya kipuzi na yakuwafumba watanzania macho. Tutafika tu wakuu.
labda tumuulize dada mwaswat,kama kweli uhuruto yuko na democrasia ya mfano.World Bank na IMF wanajua kupika data sana kwanza pande ya Wakenya. Mbona yetu hapa Tz wanatuweka LDC?Ukweli mkuu, unajua hii ya sisi Kuitwa LME(low middy economy) wakati ipo kwenye makaratasi, inauma sana,coz,GDP imepikwa,uchumi umedumaa,BIGGEST PIG-LIKE SLUMS, poverty, growth of 4.5% economy.inatuumiza sana sisi wakenya.
We don care.World Bank na IMF wanajua kupika data sana kwanza pande ya Wakenya. Mbona yetu hapa Tz wanatuweka LDC?
http://nairobinews.nation.co.ke/chi...arty-in-south-africa-on-sons-birthday-photos/World Bank na IMF wanajua kupika data sana kwanza pande ya Wakenya. Mbona yetu hapa Tz wanatuweka LDC?
Buy a Kenyan newspaper and the only diamond you will find ni those minerals hizo zingine ni AOB za East Africa.Unaona hata Magufuli hatambuliki?Once again am asking,btn UHURUTO na PLATINUMZ,who makes headlines on kenyan media?![]()
![]()
![]()
Havoc Dar es salaam![]()
![]()
NAIROBI- A GLOBAL BRAND NAME
![]()
Nairobi Hotel-Guangzhou,China![]()
View attachment 660716
View attachment 660715 City Of Nairobi Park-Denver,Colorado-USA
![]()
![]()
![]()
Nairobi Java House- Kenya,Uganda,Rwanda
Lata sampuli tofautiHavoc Dar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()
kilitoka tanzania ama china?Kile kilichotoka China mwaka huu mlinunua?, mbona tunawadai pesa kibao za chakula mlichochukua kuanzia 2014 hadi leo, au kwenu Tanzania pia ipo kwenye list ya nchi mlizozikopa, kwahiyo katika hiyo 56% ya madeni yenu mliyoyatandaza dunia nzima mnakwenda kuomba misaada pia Tanzania ina share humo?
hahaha... rudia tena kwa sauti wakuskieTutasubiri sana kwa Nairobi wakuu tusijidanganye kabisaaa
population???? hope tungekua wa mwisho