Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama watu waje kwangu kumuona bibi ya jirani na wanilipe kwa hilo ilhali wengine waje kwako kumkamua bibi yako na walipe zaidi....Mimi faida yangu ipo sawa sababu hakuna input kubwa naweka lakini napata mapato. Sasa na hawa watalii mnaopata fiada ya zaidi ya mara NNE ya Kenya, vipi bado mko LDC?
Vp,bado mko na njaa?
 
Weka hapa kwa ushahidi.

upload_2017-12-27_13-2-11.png


upload_2017-12-27_13-6-4.png


upload_2017-12-27_13-8-34.png


10425043_492605150873937_5549491064827783093_n.jpg


1236545_351807944953659_1123439919_n.jpg


upload_2017-12-27_13-11-44.png
 
Joh mnaeza iuza mkanunulia chakula,njaa isiendelee kuwaua kama inzi.
Sasa nchi DC na watu wake wako na njaa
Vp,bado mko na njaa?
2016 april imeshakua 3 yrs ago😀😀😀😀

mwaswast vs all the above na wanahema hema.
 
Back
Top Bottom