Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwaswast vs all the above na wanahema hema.
Utachanganyikiwa mwaka huu. Naona umeingia choo cha kike sasa

upload_2017-12-27_13-28-39.png

upload_2017-12-27_13-30-59.png

upload_2017-12-27_13-31-48.png

upload_2017-12-27_13-35-50.png

upload_2017-12-27_13-36-20.png
 
Tunakuhemea hakika,ita wenzio utakufwa.
Bora tubadili mada maana unaleta point za kitoto hapa
Anaruka ruka ka mahindi ya popcorn
huyu niachieni Mimi nimyooshe
Tatizo,huna uwezo wa kujenga hoja
Utajiri hupimwa kwa kuangalia uwezo wa wananchi kumudu chakula, malazi na mavazi, sio GDP ya magazetini wakati mnakufa njaa na kulala kwenye mabanda ya nguruwe.

Washamba mliojawa na wivu, hivi lini Hii nchi yetu tukufu ya Tanzania itaongoza ukanda huu wa Africa ya mashariki na kati? Kila Saa tupo number 2 ilhali KENYA imejaza ukabila,njaa na ugaidi.

Na je mbona hawa manyang'au kila kitu kwao rahisi kujenga? Si JKIA, Thika superhighway, SGR kilomita mia Tano wakati yetu hijulikani wapi na wapi, LAPSSET washaanza sisi hata ile ya Dar bado ndogo sana, Nchi yetu yenye rotuba na raslimali za kila aina ilhali Kenya ni jangwa la kutupwa na bado wanatubabaisha hata kwa JF. Sisi watanzania tuna shida mingi sana na jinsi kuzitatua ni sisi wenyewe wala si kuwashobokea waKenya....Hapa kazi tu slogan naona ni ya kipuzi na yakuwafumba watanzania macho. Tutafika tu wakuu.
 
Ngoja kwanza tushughulike na njaa, umasikini, ukabila, insecurity, unemployment, slums na land grabbers, tukimaliza hivyo vitu muhimu, ndiyo tutaanza kufikiria BRT, kujenga the most modern Hospitals, Electrical, modern and faster SGR kwa pesa yetu, sio hii ya mkopo wa China, and upgrade JKIA ili iendane na terminal 3 ya JNIA
 
Washamba mliojawa na wivu, hivi lini Hii nchi yetu tukufu ya Tanzania itaongoza ukanda huu wa Africa ya mashariki na kati? Kila Saa tupo number 2 ilhali KENYA imejaza ukabila,njaa na ugaidi.

Na je mbona hawa manyang'au kila kitu kwao rahisi kujenga? Si JKIA, Thika superhighway, SGR kilomita mia Tano wakati yetu hijulikani wapi na wapi, LAPSSET washaanza sisi hata ile ya Dar bado ndogo sana, Nchi yetu yenye rotuba na raslimali za kila aina ilhali Kenya ni jangwa la kutupwa na bado wanatubabaisha hata kwa JF. Sisi watanzania tuna shida mingi sana na jinsi kuzitatua ni sisi wenyewe wala si kuwashobokea waKenya....Hapa kazi tu slogan naona ni ya kipuzi na yakuwafumba watanzania macho. Tutafika tu wakuu.
naona leo umakalia kuti kavu😀😀😀😀
maneno yote ni nonsense
 
Povu,jasho,udenda.

Kama unataka kusikia tz ikiongoza ukanda huu,weka hasira pembeni utulie,tumeanza na kuizika nai kwanza ili muache kiherehere,sambamba na hayo hizi project kubwa mpaka 2020 zinaifanya kenya kuwa kama kambwa kadogo kwa tz.

Mpaka sasa baada ya uzi huu wakenya wengi mmeishaanza kuhisi kifafa baada ya kuiona dar vyema kupitia uzi huu.leo hii wote kimyaaaaaa.

Mmebaki na kelele za superhighway,tuna SGR ya 160 km/h kwa distance ya 600km.so wakati mnafikiri 1,sie tunawaza 5.
 
Back
Top Bottom