hapo sawa naeza kam soon kujinyc...ila headquarters ya raha hii africa ni Nairobendani ya oyesterbay and coco beach full pleasure
collo mzii karibu jiji la starehe africa mashariki
View attachment 659994 View attachment 659996 View attachment 660003
chakula tunanunua hatupewi..ila sisis tulidonate kwa LdCMlijipendekeza ili tuendelee kuwapa chakula bure![]()
![]()
hehe ndugu hakuna mji wowote east africa unaeza simama na dar kwenye starehe hio sahau😀😀😀😀😀hapo sawa naeza kam soon kujinyc...ila headquarters ya raha hii africa ni Nairobe
Nairobi hadi kina wizkid,davido wako hapa kila weekend kulewa..ata diamond alibuy nyumba nairobi..hii ni jijiji si jiji(kubwa kwa jiji)hehe ndugu hakuna mji wowote east africa unaeza simama na dar kwenye starehe hio sahau😀😀😀😀😀
Kile kilichotoka China mwaka huu mlinunua?, mbona tunawadai pesa kibao za chakula mlichochukua kuanzia 2014 hadi leo, au kwenu Tanzania pia ipo kwenye list ya nchi mlizozikopa, kwahiyo katika hiyo 56% ya madeni yenu mliyoyatandaza dunia nzima mnakwenda kuomba misaada pia Tanzania ina share humo?chakula tunanunua hatupewi..ila sisis tulidonate kwa LdC
Diamond alinunua apartment ili apate stoo ya kuwekea karanga zakeNairobi hadi kina wizkid,davido wako hapa kila weekend kulewa..ata diamond alibuy nyumba nairobi..hii ni jijiji si jiji(kubwa kwa jiji)
diamond ananyumba nyingi sana nje sio nairobi tu, kwa dar tu anamiliki nyumba nyingi sana, alikiba mwenyewe ananyumba britain etcNairobi hadi kina wizkid,davido wako hapa kila weekend kulewa..ata diamond alibuy nyumba nairobi..hii ni jijiji si jiji(kubwa kwa jiji)
Sasa kama hamna artist wazuri unategemea nini?, acha waje wawape burudani wanamuziki wenu wazidi kupotea, ni kama vile Kenya ilivyo na wakimbiaji wengi wa marathon na wengine wanaenda nchi zingine ambazo hazina wakimbiaji, inakuwa ni maajabu kwa wakimbiaji wa marathon kutoka nchi zingine kwenda Kenya kuishi, labda kwenda kufanya trainings pekee, kumbukeni wasanii wenu na mziki wenu ndiyo bye bye.Nairobi hadi kina wizkid,davido wako hapa kila weekend kulewa..ata diamond alibuy nyumba nairobi..hii ni jijiji si jiji(kubwa kwa jiji)
Sisi pia hatutaki usela na watu wanabaka wanyamaHahahaha... we don't associate with devil worshippers
Ni kama watu waje kwangu kumuona bibi ya jirani na wanilipe kwa hilo ilhali wengine waje kwako kumkamua bibi yako na walipe zaidi....Mimi faida yangu ipo sawa sababu hakuna input kubwa naweka lakini napata mapato. Sasa na hawa watalii mnaopata fiada ya zaidi ya mara NNE ya Kenya, vipi bado mko LDC?Mapato gani mnayopata zaidi ya kula kwa macho?, ni kama kumuangalia mke wa mwenzako ukawa unamtamani kwa mbali, Tanzania inapata mara nne zaidi ya Kenya katika utalii. Mapato yanayotokana na mlima Kilimanjaro pekee, ni sawa na mapato yote ya utalii wa Kenya kwa mwaka.
Ndio Maana ya shamba la bibi vipi wewe.Tukikwambia tunakulisha unarusha mateke![]()
![]()
Sasa kama unapata pesa mbona hata chakula huna, hiyo pesa unafanyia nini kama bado unaishi katika mabanda ya nguruwe?Ni kama watu waje kwangu kumuona bibi ya jirani na wanilipe kwa hilo ilhali wengine waje kwako kumkamua bibi yako na walipe zaidi....Mimi faida yangu ipo sawa sababu hakuna input kubwa naweka lakini napata mapato. Sasa na hawa watalii mnaopata fiada ya zaidi ya mara NNE ya Kenya, vipi bado mko LDC?