President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,353
Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii nimegundua watanzania hawana time na wakenya. Wakenya wanajipendekeza kweli. But watanzania wa ignore them
Kwanza nani alikwambia posta au hiyo area ni business centerHeri State House iwe CBD ndio wafiche uchafu wa CBD.🤣 🤣 🤣
Nani kakuambia posta ni business center, hizo zilikuwa ofisi tu na nyingi ilikuwa za serikali na zimehama , inshort huo ni mji wa zaman saaana.Mimi nimetumia hio map umepost na Embassy ya Zambia, Finland, Sweden, Canada, Egypt, South Africa etc zote ziko ndani ya CBD. Sasa ni biashara gani iko ndani ya hio CBD, ju ukitoa offisi za serikali nikama hakuna business ya maana hapo, unabaki tu na mahoteli and a few private offices.
Ndo maana the last time nikakuelekeza ukitaka tembelea Tanzania uwe unaomba wenyeji, sanasana ukijifanya mwenyeji utaibiwa tuuHeri State House iwe CBD ndio wafiche uchafu wa CBD.🤣 🤣 🤣
Ni wapi nimetaja Posta? Lakini wewe vidole vyako vinakimbia kuliko akili yako, ndio kwa maana husomi reply za watu vizuri before commenting.Nani kakuambia posta ni business center, hizo zilikuwa ofisi tu na nyingi ilikuwa za serikali na zimehama , inshort huo ni mji wa zaman saaana.
Kwanza labda tuanzie maana ya CBD , CBD inamaaanisha ni central business district , sasa nani alisema hayo maeneo ni eneno la kibiashara kwa Tanzania . Tanzania hatuna CBD bali tulikuwa na city centres tu ambayo ilikuwa ni ilala na hata ukifuatilieni ilala ambayo ndo hiyo picha mnayoclaim ni CBD sisi kwetu ilihesabiwa kama administrative area business center ziko kinondoni .Nani alisema ikulu iko city center na hata nyinyi wenyewe hamjui CBD yenu ina anzia na kuishia wapi. Kila mtu ana boundaries zake. Hadi nyumba za ambassadors ziko CBD. Dar is a slum must be the most unplanned city on Earth. 🤣 🤣 🤣
Hizo picha zenu hapo hayo maeneo yote kuanzia akipopiga picha mwenzako yako ndani ya wilaya Moja ya ilala ambayo ilikuwa administrative area kwahiyo posta na mnazi mmoja mnayoclaim ni CBD mkaiacha ikulu mpaka upanga jua yote hayo ni eneo moja🤣🤣🤣🤣🤣Ni wapi nimetaja Posta? Lakini wewe vidole vyako vinakimbia kuliko akili yako, ndio kwa maana husomi reply za watu vizuri before commenting.
Wewe kichwa chako Huwa ni kigumu kuelewa tutaenda taratibu, maana tunawajua nyinyi ni vilaza tuNi wapi nimetaja Posta? Lakini wewe vidole vyako vinakimbia kuliko akili yako, ndio kwa maana husomi reply za watu vizuri before commenting.
Sasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🤣🤣🤣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?Mimi nimetumia hio map umepost na Embassy ya Zambia, Finland, Sweden, Canada, Egypt, South Africa etc zote ziko ndani ya CBD. Sasa ni biashara gani iko ndani ya hio CBD, ju ukitoa offisi za serikali nikama hakuna business ya maana hapo, unabaki tu na mahoteli and a few private offices.
Haha elimu yao ya kufikiri ni ndogo sana, CBD maana yake central business district kwao inabeba mpaka maofisi ya serikali, kwa Tanzania hasa dar es salaam Kila wilaya ilikuwa na majukumu yakeSasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🤣🤣🤣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?
Soko ya samaki ni jirani ya ikulu. 🤣🤣. Basi that's the most unplanned CBD on earth, no wonder hakuna mtu anajua boundaries ya hio CBD. Kila mtu akona demarcations zake hata Google maps haijui.Sasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🤣🤣🤣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?