Baada ya Trump kuminya misaada kenya Goernment laid off 56,000 Community Health Workers while Tanzania Government absorbed all of them into its payroll. sasa hapo ndio utajua ipi ni jidipii ya karatasi na ipi ni ya ukweli.
Siasa za kenya ni upumbavu,siku akitawala mjaluo au mkisii ndio nitaona kweli kundustan nchi ya kidemokrasia,but ni usanii tu na ukabila hamna demokrasia chochoteElimu ya Sisiemu ni ovyo. Wanatetea Serikali with all their might. 🤣🤣 Wako zile time za KANU.
Picha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.Haha hiyo ilikuwa showoff na anyway hiyo nyumba haiko mjini na amefanikiwa kulipia gharama za kuwekewa umeme .
Nyumba ngapi Nairobi hazina umeme wala maji
Hivi hapo kibera uwa mnapumua vp na uvundo huo,halafu ni km 1 toka cbd 😀Next.., you are doing great, hii ndio level nataka mucheze., clips na mapicha.,
Sijui hilo.,, ila ninalojua na naweza kudhibitisha Mombasa imeizidi Dar kwa mengi, kando na Dar hakuna jiji Tanzania iko level ya Mombasa., a screaming fact, ndio inakuuma, unatafuta pa kuponda ujiliwaze. Hamna jibu.
Tangu lini nyani akaona kundule?
View: https://x.com/AfricaStoryLive/status/1303742232428773378?t=RzjQuAal2hdxyCikmWwGzQ&s=19
Pamoja na China kuwa marafiki zetu wa siku nyingi janja janja yao hawawezi kuleta Tanznia kwa heshima waliokuwa nayo kwetu na wanajua mismamo yetu na foreign policy yetu inataka nini? ujinga ujinga inawapelekea wasioijitambua tuuA 51st state wannabe soon wanageuka kuwa east African Chinese province.
Hahah ....,..maeee.....
View attachment 3332979
Umeona utofauti wa hiyo picha umeme kwanza .Picha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.
About umeme, this picture summarizes everything. Tunajua ni wapi ndio Kuna nyumba hazina umemekatinya Nairobi na DarView attachment 3333462
Mambo na maji usitaje wakati sewer system yenyewe hamjui ni nini. Water system and sewer system go hand in hand View attachment 3333466
A map from the imperialists aiming to defile TanzaniaPicha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.
About umeme, this picture summarizes everything. Tunajua ni wapi ndio Kuna nyumba hazina umemekatinya Nairobi na DarView attachment 3333462
Mambo na maji usitaje wakati sewer system yenyewe hamjui ni nini. Water system and sewer system go hand in hand View attachment 3333466
Na bado umeme wao umeconcetrate eneo mojaA map from the imperialists aiming to defile Tanzania
Tangu lini nyani akaona kundule?
View: https://x.com/AfricaStoryLive/status/1303742232428773378?t=RzjQuAal2hdxyCikmWwGzQ&s=19
acha ujinga inategemea gari imekuwa sourced from which country. most countries use LHD.LHD in Bongoslum. Naona bado unapost gari za Ghana.
wow nice render 😂😂😂Bomas Convention Center outlook. The project will cost $270M.
It consists of Indoor Spoorts Arena
Commercial Center
Heritage zone
Convention zone
Animal Opharnage
![]()
![]()
Nani kasema hivyo? We have mud and grass-thatched houses in rural Kenya ila kwenye baadhi ya maeneoHakuna aliyekataa point ni ninyi kupost nyumba nzuri nzuri na kusema ati ndo zimejaa "ushago" kwenu wakati nyumba za tope na nyasi ndo zimejaa. 😂😂😂
Wewe kijana wa Tandale utaimb huu wimbo wa render hadi lini? Don't you get tired? Projects zote that you shouted render zimejengwa na mengi yanatumika. Too desperate!wow nice render 😂😂😂
Ila kwenye baadhi ya maaeneo. 🤣🤣🤣 duh sio poa.Nani kasema hivyo? We have mud and grass-thatched houses in rural Kenya ila kwenye baadhi ya maeneo
When the same imperialists give positive data/information about your country you shout at the top of your voices in excitement and sing songs of praise to them! What a bunch of hypocrites!!!A map from the imperialists aiming to defile Tanzania