Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ufukara wenu ni wa kiaina., mnaongoza ukanda huu, fukara zaidi ya Waganda, Burundi na Rwanda..., fikra zako ni zako.
downloadfile-13.png

Sawa tajiri
 
Evidence Gani na Kila siku mnasema humu corruption ipo Kenya huko kwenu hamna?
Kwamba kila siku tunasema, then unasema tena tunaona nchi yetu nyeupe.

Umeshatafuna Jaba na bange?
Sijasema hatuna rasilmali. Nimesema mna rasilmali mara nne zaidi yetu
Huo ushahidi uko wapi, wa raslimali mara 4?
na hata nyinyi wenyewe huwa mnajipiga vifua kwa hilo. Sijui ni kutoelewa huelewi ama unabisha tu kushinda mjadala.
Tunajipiga kifua wapi??
You're simply proving my point. Mna shida ila hamna ujasiri Wala Uhuru wa kuiongelea.
Punguza miraa.

Komaa na fact moja.

Tuna shida, hatuna ujasiri wa kuiongelea kivipi?

Then, unasema kila siku tunasema humu?
Wazimu wa miraa hii siyo bure
Ndio maana mkiona sisi tunaandamana ama tupo mitandaoni kulalamika mnaona mpoa vizuri kutushinda.
Mnaandamana kupambania ndoto za Jaluo Odinga, huyo mamuita Baba.

Hayo maandamano hayajawahi kuwasaidia nyie machokoraa.

Ndio maa watu wa SLUMS ndio mnaandamana
Ndio maana mpo humu mnashara picha Moja Moja ya potholes Nairobi wakati mitaa yenu kama Mikocheni Kuna Barabara za vumbi na Wala hamziongelei Hadi mnaona nimepiga picha uswazini kisa wengi wenu hamna hata habari jinsi sehemu za Kifahari huko kwenu zilivyo. Kuna utofauti mkubwa sana Kati ya Kenya na Vumbistan.

Sitaki mje, nataka muendelee kulala usingizi mkijiita nchi ya maziwa na asali.
Hujawahi kufika TZ, kwasababu njaa kali nauli huna.

Hiyo Mikocheni huijui
 
Kwamba Mikocheni ni Nyumba moja???

Leta video ya Mikocheni, siyo nyumba moja.

Huu ni UJUHA
Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.😂
 
Nani kabisha kama sio mikocheni wewe pumbavu.? 🤣🤣🤣🤣
 
Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.😂
Huo ni mtaa ambao Haina maajabu hapo Kuna mama ntilie kibao kwa ajili ya viabarua wanaotoka viwandani huko🤣🤣🤣🤣 bisha kama sio mikocheni b ( industrial area)
 
Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.😂
Mikocheni hii hapa na mipaka yake. 👇🏾
IMG_7215.jpeg
ngoja kisogezee karibu. 👇🏾
IMG_7217.jpeg
IMG_7392.jpeg
IMG_7393.jpeg
haya tueleze we ulienda ipi.? 🤣🤣🤣
 
Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.😂
Sasa unaposti nyumba moja halafu unageneralise, Mikocheni?

Una akili timamu?
 
Back
Top Bottom