Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Kama kweli mngekuwa na democracy mngeandamana kushurutisha familia za Moi na kenyatta warudishe ardhi walizowaibia, badala ya kurundikana kwenye slums kama matenga ya nyanya mkipiga domo eti mna democrasia.You can go your usual lane if you want to but hata wewe unajua Kuna freedom huwezi enjoy hapo Vumbistan ila ukija Kenya utaenjoy. Your human rights activists come to Kenya all the time to voice their bold opinions.