Tulia, you are just a watchman na kazi yako ni kubeba rungu huko airport. Jamii Telecom plays with the big boys, wewe ngoja tukianza kuongelea mawatchman tutakuita.Ndiyo kampuni gn hiyo? Au ndiyo miongoni mwa zile kampuni 1000 za kikenya hapa bongo zenye jumla ya mtaji $500m? Yani kampuni 1000 za wakenya mtaji wake unazidiwa na kampuni mbili za watanzania kule Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://x.com/janetmachuka_/status/1697164039858634930?t=_97gMlCkHTa49vtF07Pcrg&s=19