Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

US Embassy imebanwa na Slums. 🤣 🤣 🤣

ScreenShot Tool -20250508143940.png
 
Huko bongoslum usipofika form 6 your very useless. 😂😂😂 Ndio maana unajaribu kututisha hapa na advanced mathematics za form 6.


View: https://x.com/dr_kitaa/status/1877281953327505472?t=RO4yRPGF_iYWV77i6vliKA&s=19




Wewe primary school dropout, mwanafunzi wa Kenya grade 4 anaweza kushinda reasoning.


View: https://x.com/LODILOFA11/status/1901278115231306202?t=ONj_C1Y9v9u0p-8hQEfAbw&s=19

Nimepitia hizi comments zote za wavunja kuni, hazina uhalisia wowote. Kwasababu walio comment wenyewe hawajasoma. Ni wale wapumbavu wa kuamini kuongea kiingereza ndio kuwa na akili. 🚮
 
Ona hili lipumbavu lilivyo halijielewi.
Pharmacokinetics na pharmacodynamics haziunganishwi kutengeneza pharmacology.
Pharmacology inahusiana namna ya chemistry inavyo play part katika kuunda dawa.
Kwenye upande wa Organic and inorganic chemistry ndipo pharmacology inaelemea.
Hizo mbili za juu zinazungumzia namna dawa ifanyavyo kazi katika mwili na mengineyo yanayohusiana na hayo.
Huna unalolijua kazi kubwata tu.
Suala la sabuni lilikushinda utaliweza hili!?
You are a quack.
 
Nani alisema ikulu iko city center na hata nyinyi wenyewe hamjui CBD yenu ina anzia na kuishia wapi. Kila mtu ana boundaries zake. Hadi nyumba za ambassadors ziko CBD. Dar is a slum must be the most unplanned city on Earth. 🤣 🤣 🤣
Mbona mnasumbuana na hawa watu? Before Kenyans came to Jamii Forum watanzania hawa kujua what CBD. It’s a new vocabulary to them.
 
You can beat your chest by finding links all day but the truth remains, our education system speaks for itself; BRT, high speed trains, a mega dam, beautiful bridges...
Yet no Tanzanian participated in building those projects, hadi drawings mnachorewa na foreigners. Unataja BRT yet it was done by WB, Train by turkish, dam by Egyptian, bridges by Chinese. So tell us what Tanzanians has done by themselves.
 
Back
Top Bottom