Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet another small bank. 🤣🤣 Hio hata inaweza nunuliwa na Coop bank na wasiende hasara.
View attachment 3330247
But fully owned by Tanzania people pasipokutegemea misaada ya marekani
Sasa hio hesabu nimekufanyia na the minimum of 1000 shares Kwa hio 2nd band to get the worst case scenario. Na ningepiga hesabu na the median of 5k shares je?
Rudi kajifunze elimu ya shares haihesabiki kwa wingi wa watu bali capital iliyowekwa we jua tu dhamani ya mtaji wa asilimia 40 % ya safaricom inamilikiwa na foreigner Vodafone inabaki 60% ambayo ndo gombania goli na serikali. Free flow shares za 25% ya total value ndo wakenya wengi mnaangukia kwa sababu hakuna mtaji. Tu
 
But fully owned by Tanzania people pasipokutegemea misaada ya marekani

Rudi kajifunze elimu ya shares haihesabiki kwa wingi wa watu bali capital iliyowekwa we jua tu dhamani ya mtaji wa asilimia 40 % ya safaricom inamilikiwa na foreigner Vodafone inabaki 60% ambayo ndo gombania goli na serikali. Free flow shares za 25% ya total value ndo wakenya wengi mnaangukia kwa sababu hakuna mtaji. Tu
Naona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.
 
Umekazana na shareholding ya Safaricom yet huko kwenu your government owns nothing pale kwa Vodacom Tanzania. 🤣🤣🤣
 
Naona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.
Elimu yako ndogo sana huwez elewa , kinachozungumzwa
 
Naona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.
Tcb bank, tib bank and postal bank fully owned actually Tanzania government has shares in almost 50 % of all commercial banks in tanzania
 
Unadelete reply kwanini. Sema tu hukujua hio 25% ya Vodacom is not owned by a single company. That's what is listed as an IPO for the public. Sasa 25% ya Safaricom Kenya umeipinga sana na ye kwenu je?
 
Iliuzwa akaenda kununua tigo a u yas still kati ya kampuni Tano za kitanzania tatu ziko na largest shareholders ambao wako tanzania
Tigo millicom ni Tanzania kampani
Airtel 49 ya government
Ttcl mainly government haya
 
Bwana mwaiofhawaii njoo ujifunze dunia huku. Uone vile bwana zenu hawawezi shindana na China, labda waanze upya kujenga viwonder 🤣🤣🤣. Wao wanauzia watu majina tu but the manufacturing is done in china and them costs of producing will blow up your mind. Here we go. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DIg8vN_MgDq/?igsh=MXB6bHRrNWJidjVsOQ==.

For the first time in history you have posted something that I can’t dispute. Congratulations!.. keep up the good work. Those are the fruits of free market economics. Cheap labor to maximize profits for shareholders. That’s why most manufacturing will never come back. No American will make toothpicks or other simple products. It would never be profitable due to minimum wage laws. But in Chinese line factories, you can pay workers cheap. Even use child labor. America is focused on technological jobs of the future. You will know when they appear in the media soon.
 
Vipi kuhusu Airtel Kenya inamilikiwa na kuchikuchi hotahe🤣🤣🤣 kwa 80+
Do you have a majority stake in anything apart from Government parastatals. Hadi hii Yas sahii Parent company ni ya Madagascar. 🤣🤣🤣
Airtel - India
Vodacom - UK
Halotel - Vietnam

Ndio Kwa maana Magufuli alikua anataka kutake over Airtel na akashindwa. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom